Leo Magufuli kasema kura zihesabiwe Kama ilivyokuwa dodoma yaan zinahesabiwa hapohapo ukumbini
Hiyo haisaidii maana Mwenyekiti keshasema kuwa kwenye kikao cha mwisho cha uteuzi anachoongoza yeye, wa kwanza kura za maoni Jimboni anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza akateuliwa kutegemea Mwenyekiti alivyoamka siku ya uteuzi. Mwenyekiti ndo mwenye Chama, Serikali na Nchi uamuzi wake ni wa mwisho na haupingwi.
 
Aisee,umenena vema sana.....
 
Pengine wewe ndio haujui maana ya itategemea Ameamkaje.
 
Iramba kura zilizopangwa na Uongozi wa CCM Wilaya

1. Eng. CC Mkali - 4
2. Dr. Mwigulu Nchemba - 27
3. Monica Yongolo --8
4. Lyanga Martin 3
5. Dr Timoth Lyanga - 13
6. Paulo Mkoma 2
7. Abdala Matanga - 3
8. Robert Jackson Makala - 5
9. Vicent Shomela - 3
10. Eng. Jumbe Katala 11
12. Mwl Noel Kingu - 4
13. Matahyo Samson - 9
14. Elia Mpesa 1
15.Elibariki Ndau 1
16. Paulina Makamba - 2
17. Adv. John W. Jacob - 16
18. Sadath Nkuku - 1
19. Herijema Nalaila - 6
20. Babu Khamis Bulali - 3
21. Amani Irunde 1
 
Mchuano mkali sana hapo naona Mwingilu nchemba anapita kwenye tundu la sindano
 
CCM imetengeneza 1,036,100,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
 
CCM imetengeneza 1,0361,000,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
Inawezekana aisee,maana hio ndio wanaiita CCM mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Siasa za udini fyuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…