Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haisaidii maana Mwenyekiti keshasema kuwa kwenye kikao cha mwisho cha uteuzi anachoongoza yeye, wa kwanza kura za maoni Jimboni anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza akateuliwa kutegemea Mwenyekiti alivyoamka siku ya uteuzi. Mwenyekiti ndo mwenye Chama, Serikali na Nchi uamuzi wake ni wa mwisho na haupingwi.Leo Magufuli kasema kura zihesabiwe Kama ilivyokuwa dodoma yaan zinahesabiwa hapohapo ukumbini
Aisee,umenena vema sana.....Kwani hao wazee waislam ndio wanaopiga kura peke yao? au wao ndio wasimamizi wa uchaguzi? Nini kimepelekea hadi kuingiza udini katika hili? au ni chuki zako tu kwa waislam?
Kasome vizuri historia ya nchi hii ujue mchango wao na jinsi walsivyokuwa na uchu wa madaraka ila wanapenda haki.
Dkt. Kitwanga na Mnyeti!Misungwi kuna wagombea nani na nani jmn
Unaota wewe!
SukraniDr Kitwanga na Mnyeti!
Kitwanga apiteeDr Kitwanga na Mnyeti!
Kazi ipo huko kwa Ndugai,wajiandae bakora.
Kwanza si ndio anaishikilia ile betri ya moyo ya jamaa?CCM nzima kuanzia mwenyekiti taifa mpk mkutano mzima hawana uwezo wa kumkata huyo,ndio mbabe wao huyo.
Kitwanga rafiki yake Magu Vs Mnyeti mtoto wa ndani kabisa wa familia ya the boss.Dr Kitwanga na Mnyeti!
Hii ni kiasi gani kwa maneno.?CCM imetengeneza 1,0361,000,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
Inawezekana aisee,maana hio ndio wanaiita CCM mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.CCM imetengeneza 1,0361,000,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
Siasa za udini fyuuuuuWaziri wa Fedha Dr. Mpango anakabiliana na mhe. Obama mbunge anayetetea kiti hicho jimbo la Buhigwe. Kasulu mjini ni waziri wa Elimu Prof.lJoyce Ndalichako dhidi ya Daniel Nsanzugwako mbunge anayetetea jimbo hilo.
Dr Mpango anatokea eneo lililo pembeni mwa jimbo hilo na lenye wakazi wachache huku Obama akiwa mzaliwa wa Manyovu upande wenye wakazi wengi. Kwa upande wa Ndalichako huyu amekulia na kusomea Kigoma mjini japo asili
yao in Kasulu mjini.
Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.