... lakini MC amesisitiza kwamba leo hakuna mshindiPaul Makonda 120
Faustine Ndugulile 190
Nataka kulewa,Paul Makonda 120
Faustine Ndugulile 190
Narudia tena kuandika hapa.Umetoa maoni yako negative kwa uonavyo wewe.kwa point hiyo ya ukawa mbona basi pia kuna wabunge wengi hata wa Chadema watapigwa chini kwa sababu ukawa haipo tena.
Ebu wamalize niangalie zangu panguso mie
WoyooooooooooooooohNdugulile 190
Makonda 122
Michezo ya kisiasa hiyooo...Hivi hawa wanaopata kura 0 inamana hata hao hawajajipigia kura au?
Weka mkeka wa matokeoMakonda kashinda.
Ndugulile kashindaYaaaan weee acha tyuuuh, tumbo linauma kwa kweli, plz matokeo unambie nijue mmmmh
Bank ya kwanza kuwa na tawi marangu ni ipi? Na unajua ni mwaka gani alilijenga??Kwani akiwajengea tawi la bank Ndio amewapa hela au utajiri?matawi ya bank hayajawahi huwa shida marangu