Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ndungulileeleeeree[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shunie
Hannah
 
Paul Makonda lazima awepo kwenye baraza la mawaziri baada ya october, hakuna namna ya dogo kuwa nje ya Baraza..soon mtaona maajabu kuelekea uchaguzi october...
 
Umetoa maoni yako negative kwa uonavyo wewe.kwa point hiyo ya ukawa mbona basi pia kuna wabunge wengi hata wa Chadema watapigwa chini kwa sababu ukawa haipo tena.
Narudia tena kuandika hapa.
Jimbo la Vunjo, lilikuwa na ushindani mkubwa sana kati ya CHADEMA(John Mrema) na TLP (Augustino Mrema) mwaka 2010 na TLP(Mrema) akashinda katika mazingira ya maafikiano ya wazee wa kichaga. Kisiasa Mrema (TLP) alikuwa ameachwa mbali.

Kuja 2015 John Mrema (CHADEMA) ndio akawa na nguvu zaidi akitegemewa kuchuana na mgombea wa CCM, ujio wa UKAWA ikabidi waachiane majimbo, NCCR wakataka kuweka mgombea pale Vunjo kwa kuwa mwenyekiti wa NCCR (Mbatia) alitaka otherwise alitaka apewe jimbo la Kawe kitu ambacho CHADEMA hawakuwa tayari kumtosa Halima Mdee. Hivyo Mbatia akavuna jimbo kiulani sana.

Mwaka huu Mbatia (NCCR) ameasi UKAWA yuko bega kwa bega na CCM kwa ahadi kuwa CCM watamuachia jimbo! Lakini mwelekeo wa CCM kuelekea October unaonyesha hawatafanya huo ujinga, hivyo Mbatia ajipange kivyakevyake. Sio Mbatia wala NCCR wenye ushawishi wa kushinda hilo jimbo mbele ya ushindani wa CCM au CHADEMA.

Pia usisahau kuwa jimbo la Vunjo kiasili ni mali ya Augustino Lyatonga Mrema, ambaye kwa maafikiano ya wazee wa kichaga zama zake ziliishia 2015.
 
Kwani akiwajengea tawi la bank Ndio amewapa hela au utajiri?matawi ya bank hayajawahi huwa shida marangu
Bank ya kwanza kuwa na tawi marangu ni ipi? Na unajua ni mwaka gani alilijenga??

Bank gani nyingine ina tawi Marangu??
 
Back
Top Bottom