Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona bado... Naona ndo zinahesabiwa now..
channel 10 inamilikiwa na CCMMchuano mkali niko live Channel 10. Nani alilipia live counting Kigamboni? Naona interest ni kubwa sana huko Kigamboni. Sitoi jicho aisee mpaka kieleweke kipenga cha mwisho.
Sasa hapo mshindi Ni Nani au umevuta bangiDr kimei kashaanguka huko Vunjo
Jimbo la Vunjo
Enock koola 187
Dr kimei 178
Bilionea Strive Masiyiwa anatumia FB ije kuwa huyu Jamaa? Acha ushamba...
Moshi huko sikumbuki either mkuu wa mkoa au wilaya,alitia nia kwso huko,kanda ya ziwa!
JESUS IS LORD[emoji120]
Ubungo kitila mkumbo kapitaKila mtu anataka kujua ya Kigamboni, Kawe na Ubungo hamtaki [emoji23][emoji23]
Samahani ni 178 kwa Dr. KimeiKaanguka vipi? Mbona naona kama kura zinalingana?
Kuna mtu kabadilisha hapo Kimei amepitwa na kura kama 9Kaanguka vipi? Mbona naona kama kura zinalingana?
Hata ubunge wa Wenje mchawi alikuwa Dialo.Km ilivyotokea iringa kwa msigwa!
JESUS IS LORD[emoji120]
Hahahaha acha tuKila mtu anataka kujua ya Kigamboni, Kawe na Ubungo hamtaki [emoji23][emoji23]