Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mchuano mkali niko live Channel 10. Nani alilipia live counting Kigamboni? Naona interest ni kubwa sana huko Kigamboni. Sitoi jicho aisee mpaka kieleweke kipenga cha mwisho.
channel 10 inamilikiwa na CCM
 
Back
Top Bottom