Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda kashinda.Jamani matokeo kigamboni vipi?
Bila shaka upo usingiziniSo sad Makonda kashinda Kigamboni
Makonda anakimbiza mpaka mda huuJamani matokeo kigamboni vipi?
Makonda ameisha kondaJamani matokeo kigamboni vipi?
Kivuruge weweNikweli kashinda kwa kura 172. Wapili ana kura 72.
Yes na Kura wamepishana kidogo tuLakini nina hisi Kimei anaweza kupewa kwenye vikao vya Chama!
Anakimbiza upepo bila shaka sio kuraMakonda anakimbiza mpaka mda huu
Subiri babe ujilewee zako heinekennNasubir tokeo mam
Lazima awe na hofu, kuna mtangaza matokeo aliwahi kupigwa kichwa na Mh. Kamani kule jimbo la Busega.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana hofu mnoooh
Hebu sema ukweli khaaaaahMakonda kashinda.
Sija ya kukipigia kura ndio ipoje iyoWanasema ukiona Kura sifuri ujue hakuwa na sifa ya kujipigia kula