Kigamboni zi sehemu ya mchezo ...njoo kwa adabu...lah unaaibika.Makonda alijiandaa. Katembeza sana pesa kule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigamboni zi sehemu ya mchezo ...njoo kwa adabu...lah unaaibika.Makonda alijiandaa. Katembeza sana pesa kule.
Hatari na nusuPaul Makonda 122
Faustine Ndugulile 190
MAKONDA KASHINDWAMbona mnatuchanganya nyie. Mara makonda kashinda mara kashindwa. Jf mbona utopolo
Tehteh....Makonda kashinda.Weka mkeka wa matokeo
Nimeshaona mkuu, walianza figisu Bashite chaliiiiiNdugulile kashinda Mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamati ya roho ya mbaya tunakutana wapiiii wapi Genta
Kumbuka kuongoza kura za maoni sio kuchaguliwa kugombea ubunge kupitia ccm, anaweza chaguliwa hata wa tano hivyo bado final say kamat kuuMakonda chiniii
Yule lazima achezee za usoJamani naombeni tokeo la momba kwa yule msaliti mwingine....
Chini chaliiiiiiMakonda chiniii