Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa kabisa huyu Jamaa...Watu walipigwa sana pale kinondoni kutetea kula zako.afu akaja akawasaliti.leo kaambulia kura 11 tu.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1511985
Dua la kuku!Kilichompa kura ndungulile ni mpinzani aliyewekwa nae, ndungulile hafai kuwa mbunge!
Mtemvu harudi aliwahi mtukana Mwenyekiti ni wa kuja na mshamba toka Bara,huyu naweza geti kabisa harudinaona wabunge wa kununuliwa mtolea na mtulia wote chali
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Hii ngoma bado mbichi...wale ambao walikua wabunge na wameshinda ila sio kwa zaidi ya asilimia hamsini ngoma kwao bado mbichi sana.. hapa ndio kura ya maoni awamu ya pili inapokuja kutoka vikao vya ndani...Wengi wape!
Ilemela kapita MabulaJamani, tunaomb akujua kura za maoni kw Arusha Mjini, Kawe, Moshi Mjini, Misungwi, Ilemela, Nyamagana, Musoma Mjini Dodoma
😂😂😂😂😂😂Mbwa kabisa huyu Jamaa...
Unamjua Sugu unamsikia........ Huyo kidudumtu hawamtaki kabisa wanambeya.....HONGERA Dk Tulia Ackson ,sugu lazima afungashwe virago Kyala akutule nkamu gwangu
Mollel alimwaga pesa sio kitoto...yaaan waziwazMollel kashinda aisee Kuna uchawi
Kabisa yani hana msimamo na hajui anataka niniHuyo ' Boya ' nimeshamchukia rasmi Mkuu kwani kama kuna Watu ambao ninawachukia Maishani mwangu kuliko hata Wachawi ni wale Wanafiki.
Acha tushangilie kwa sasa, hayo ya Kamati kuu hayatuhusu kwa sasa, [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] cheers kwa wana Jf wote
Muda utaongeaSasa kama haujui hili jimbo mwaka huu ndiyo fainali ilipo maana matokeo ya urais yanajulikana.
Huyo jamaa ndiyo atapigiwa kura na wajinga na ndugu zake wauza kuku hapa Arusha. Nani anapenda kiongozi arrogant...
Kaisharambishwa sumu!