mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hotuba ya Leo ameongea Vitu viwili muhimu
Moja kuna Doctor mmoja alienda kugombea kwao HAKUWA na fedha akashindwa akaendelea na tafiti Zake
Pili kuna wasomi wawili amewateua mmoja alikuwa analipwa laki 5 mwingine 6 lakini wamevumilia.
Amekiri bila hela kushinda ni ndoto na wasioridhika hawakubali kwenye utawala wake.