Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kwa ule mzigo aliobeba Gwajima na kuanza kupongezwa kule kuna dalili nzuri kwake.
 
Mkoa wa Kigoma
Kasulu Vijijini

Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge

Buhigwe
Dr. Philip Mpango 297
Obama 76
 
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Mpaka leo bado mko wapumbafu namna hii eti kumwambia Rais kwani rais anatoa hela ya mfukoni kwake?
 
Back
Top Bottom