bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kero: ABC Bus ya Mbeya bado ni hovyo kabisa

    Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime. Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja. Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  5. JamiiForums Tanzania Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM. Na huu...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 27 bila Mwl Nyerere; Je CCM bado inaiishi falsafa yake ya kimapinduzi?

    Leo imetimia miaka 14 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999. Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema; “Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga? Kama bado anasubiri nini? Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late. Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC. Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba...
  9. JamiiForums Tanzania CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

    CCM ni old version kwa ajili ya old version people. Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya. Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya. Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyeuliwa na Mungu, Alobaini yake imefika na kupita. Tuliowaua 29/10/2025, bado hatujawaazimishia; hivi tuko seriously?

    Aliyeuliwa na izraeli mtoa roho amefikisha siku kadha na tumesherekea, wale walio uliwa na mapolisi ccm tarehe 29/10/2025 na kuwazika kama mijibwa tupo busy na matume, uku mkinuka dhambi za ukuaji(mfyuuuu)!
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 October 29 wengine tulilia sana na tunalia hadi leo! Sasa ni zamu yenu na bado hadi mtakoma!

    Asakri wakilia wakati wakiaga milii ya wenzao watatu tayari kwa kwenda kuzikwa.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  14. JamiiForums Tanzania EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha. Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Japo tumepiga kelele tukanyamaza bado tunakukumbuka amb. Polepole Mafwele anajitokeza kwenye kadamnasi live.

    Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
  17. JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  19. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…