forex

  1. Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  2. In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems

    In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems Introduction: After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and fall. Moving averages, in their myriad forms, remain a cornerstone of technical analysis. However...
  3. A

    DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  4. Forex vs Betting.

    Utofauti kati ya forex na betting ni upi?
  5. Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! 📲 +255 657 685 268 🔥 Powerful Features Included: ✔ Instant Payments & Downloads –...
  6. Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

    Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
  7. Forex sio lazima ubuy na kusell unaweza kufanya hivi na ukapata maokoto yasiyo na stress

    Kwenye industry ya forex sio lazima utrade huku Kuna fursa nyingi nje ya kutrade na ukapiga pesa Safi 1. Unaweza kuwa agent wa malipo ya pesa , Hawa ni watu wanaowasaidia traders katika kudeposit na kuwithdraw, , baadh ya nchi ni ngumu sana kudeposit na kuwithdraw kupitia bank , Sasa brokers...
  8. Mwigulu: Serikali inaweka mikakati kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex)

    Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba wa fedha za...
  9. Kwanini Forex na uwekezaji katika hisa inaonekana ni Utapeli?

    Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa: Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza kupata faida kubwa kwa muda mfupi bila juhudi nyingi. Mara nyingi, haya ni matangazo ya udanganyifu...
  10. Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

    Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
  11. Experience kutoka kwa mql5 programming language

    Hello wanajamii forum, Nahitaji kushare na nyie opportunity hii kuhusu mql5 programming language.
  12. Forex Traders: Hapa ni short au long?

    Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu, I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
  13. Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
  14. Jamani kueni makini na hawa vijana wa forex

    Naomba mnaojaribu kujiunga na izi biashara za forex muwe makini, sio kila kitu online ni cha kuamini
  15. N

    unajua katika forex Kuna trick za kucontrol emotion katika trading

    Leo nimeona nisaidie baadhi ya trader wenzangu ambazo tunastrugle katika level tofauti tofauti...ambao wanastrugle kutime market na kukaa mda mrefu kwenye screen kwa kuogopa kumiss trade. Kuwa professional trader wanatric ya resistance clearing na kucalcurate time Ili kuwa accurate 70% na...
  16. G

    Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    1. Mtu wa forex anaweza kuwa na laki 4 bank lakini akatumia laki 1 kupiga picha kali location kali, ni watu ambao wana undugu na photoshoot. 2. Wakinunua magari (gari pendwa mark x) wataweka maandishi ya forex, wengine wanaenda mbali kuweka plate number za milioni 10 kwenye gari zisizozidi...
  17. To Forex Traders 2024

    All in all 2023 year is coming to the end. Let us pray hard next year to be good. Whatever happened this year let be a lesson don't quit. Though the game is tough we shouldn't stop learning everyday.. Your are beginer or experienced trading strategy is very important and stick to it. Never...
  18. Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  19. Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  20. Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…