halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira. Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi...
  2. Mtendaji wa kijiji III halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji; Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi...
  3. Dereva daraja la II halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST DEREVA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye...
  4. Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo. Niko Mkoa x na ninafanya...
  5. M

    Kwanini wanatenguliwa Wakurugenzi wa Halmashauri pekee na Si wa taasisi?

    Serikali ya CCM Kila siku inatumbua wakurugenzi wa Halmashauri, ambapo naona ni uonevu kwa kiasi Fulani. Serikali aigusi wakurugenzi wa taasisi za serikali, ambao ni wakurugenzi wa vitengo mbalimbali, ambao wengi hawana utendaji mzuri hata kidogo, na Wana mishahara mikubwa, mara nne ya...
  6. Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  7. DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  8. Mtendaji wa III (Nafasi 2) Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Aprili, 2024

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 2 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali APPLICATION TIMELINE: 2024-04-02 2024-04-15 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji (ii)Katibu wa Kamati ya kijiji (iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria...
  9. KERO Barabara inayoelekea Hospitali ya Magunga Korogwe ina shimo ambalo linazidi kuongezeka kila leo, mamlaka shughulikieni hili

    Moja kwa moja kwenye mada. Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza kuleta shida. Shimo ambalo limeanza kuonekana litaweza kusababisha ajali usiku na pia uharibifu wa...
  10. Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  11. Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  12. Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Halmashauri Ya Manispaa Ya Mtwara

    Halmashauri ya manispaa ya Mtwara imetenga maeneo mengi kwa ajili ujenzi wa viwanda, hospitali za kisasa, vituo vya michezo, hoteli za nyota tatu, n.k. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo: (a) Ujenzi wa kiwanda cha kusindika nazi na kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la korosho. Mamia ya Mtwara...
  13. Je, Makonda kuteuliwa kama mkuu wa mkoa kutoka kuwa katibu wa halmashauri kuu CCM taifa (itikadi na uenezi) amepanda cheo ama ameshuka?

    Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo fahamu. Ipo hivi, katika mfumo wa utawala wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa na...
  14. S

    Bilioni 6 zilizokusanywa na halmashauri hazikufika benki? Halafu rais hajatumbua hata mmoja!

    Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu?? Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
  15. Hili la kuliwa hela za Halmashauri halikuanza leo ndio kaburi la hela za mikopo

    Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo kidogo , Chini ya uongozi wa ccm hakuna mwaka hawa wanaokula hela hizi watashitakiwa
  16. Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  17. Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei. Kuhusishwa kwa mbunge huyo, kunatokana na kukamatwa vijana wanne waliokuwa waende kutekeleza mpango huo lakini pia mke...
  18. Umefikia wapi mchakato uanzishwaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Uyole?

    Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza ule mchakato uliokuwa umeanzishwa mwaka 2021 wa uanzishwaji wa halmashauri mpya ya Uyole, uliishia kwenye hatua ipi? Kwa mwenye details zozote hapa jukwaani anijuze tafadhari.
  19. Rais Samia: Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri wanachukua Mikopo ya 10% kwa Vikundi Feki

    Rais Samia amesema Serikali inashughulikia namna itakavyotoa tena Mikopo ya 10% ya Halmashauri kwaajili ya Vikundi ambayo ilisitishwa baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2022/23 kuonesha kulikuwa na ubadhirifu mkubwa Akizungumza wakati akiwaapisha Viongozi...
  20. S

    Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

    Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini? Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…