Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mhe. John Heche, anatarajiwa kuwa mzungumzaji mkuu katika mkutano wa hadhara wa "Operesheni Katiba Mpya" utakaofanyika leo Boma ng'ombe, Wilayani Hai, kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:00 jioni (15:00 - 18:00 EAT).
Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA Kanda...