malipo

  1. JamiiForums Tanzania Jamaa aliyeitwa kukata mti wa malipo ya Sh elfu 1, wamdondokea wakati wa kukata na kufariki Dunia

    Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Kleruu, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 54 amefariki Dunia baada ya kuangukiwa na mti. Tukio hilo limetokea katika Kijiji Cha Mulama katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, ambapo mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu aliitwa kwenda kuvuta...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Nchini Kunufaika na Biashara na Malipo ya Kimataifa

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa . Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama tumelipwa 250,000 tu ya fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo. Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo
  8. JamiiForums Tanzania Malipo ya moja kwa moja kwa RMB kurahisisha Biashara kati ya China na Afrika

    Tangu mwezi Mei mwaka huu, China imetekeleza sera ya ushuru sifuri kwa nchi 53 za Afrika ambazo zina uhusiano wa kibalozi nayo, na kuondoa kabisa kizuizi cha ushuru kwa bidhaa za Afrika zinazoingia katika soko la China. Matokeo ya sera hii yalionekana mara moja. Katika miezi ya Mei na Juni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

    Habari wakuu Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police, Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo huo kulipia baada kumuandikia dereva fain 30000 aweze kulipia kidogo kidogo inasaidia kulipa kama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Responded Shukrani: Malipo ya Kujikimu kwa Walimu Halmashauri ya Urambo yamefanyiwa kazi

    Pamoja na salamu, napenda kutumia fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa viongozi na mamlaka zote husika za Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, Mkoani Tabora. Hoja iliyopita ~ Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni Wiki chache zilizopita, niliandika na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaofanya biashara ya Saluni hatuna Elimu Kuhusu malipo ya Service Levy

    Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana nanenane watu waligawiwa gesi bure Leo gesi ilivyo panda ndio malipo ya gesi ya bure msishangae

    Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
  13. M

    JamiiForums Tanzania India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti

    Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo. Baada ya kulipia kila nikipiga simu naambiwa huduma haijafika bado huku nilipo, sasa kama haijafika kwanini...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya Ushuru Manispaa ya Iringa tunacheleweshewa sana malipo yetu ya mshahara

    Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22. Hali hiyo inaathiri sana familia zetu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

    Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa malipo haya lazima nipokee maagizo na kupigiwa simu

    300,000 Tsh per day x 30 days = 9,000,000 per month. 9,000,000 x 18 months as of today.....162,000,000 Tsh. Na bado kesi kuisha na kwa malipo hayo, lazima wapokee maagizo.......................all untaxable
  19. JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana kutaka malipo kabla ya kazi na wengi wao wakiwa hawana maarifa/ujuzi wowote limekuwa kubwa..

    Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss wake inabidi umfundishe kazi na ujuzi tofauti uku ukimlipa hali hii sio siri inafanya waajiri weng hasa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino hatulipwi stahiki zetu inavyostahili

    Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali. Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki hazilipwi kabisa, ikiwemo On-Call Allowance na Extra Duty Allowance, ambazo mara ya mwisho zililipwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…