miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  2. JamiiForums Tanzania Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16.. Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa ardhi wa miaka 22 katika eneo la Mwananyamala "A" unamuumiza Mzee

    Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake. Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo, baba yangu ni mmiliki halali wa eneo hilo tangu mwaka 1984, lakini kuanzia 2004 amekuwa akipambana na...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza usajili wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kuwapatia Jamii namba

    Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana. Mpango huu utawezesha kila mtu kuwa na namba ya utambulisho wa kipekee kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Miaka 30 Huyu Hapa Ahukumiwa Kwenda Jela Mauaji ya Mwanamuziki 2Pac

    Baada ya takriban miaka 30 ya sintofahamu kuhusu kifo cha rapa maarufu Tupac Shakur, kiongozi wa zamani wa kundi la “South Side Compton Crips”, Duane “Keffe D.” Davis, amepatikana na hatia ya mauaji yake. Kifo cha Tupac mwaka 1996 katika shambulio la risasi lililofanywa na watu waliokuwa ndani...
  7. JamiiForums Tanzania Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

    Kipindi alikiba ana toa Cinderella mpaka alikiba ninalia naumia mwenzio, huyu HEMED alikua kitoto back to back Leo HEMED mkubwa Kwa king dah au Mimi ndo nimewachanganya
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  9. JamiiForums Tanzania LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

    Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba
  11. JamiiForums Tanzania Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

    Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili . Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri...
  12. JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Miaka nane hesabu za Simba hazijawekwa wazi

    Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio. Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kijana kabla haujafika miaka 35 tambua haya mambo kumi na moja yafuatayo ili usiishie mhanga wa kulalamika na kujutia

    HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI, KAMA YATAKUFAA BASI KARIBU, KAMA UTAONA BATILI, THEN LIVE YOUR LIFE 1: Hakuna jambo lolote la kiroho linalo control maisha yako. Maombi na swalah ni njia za kujifariji ila sio za kumuokoa mnyonge au kubadili mwelekeo wako 2: Hakuna utajiri kwa mganga. Utaishia...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

    Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone Nahisi kupoteza Dira Wakuuu natokaje?
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya ya 2010 yatimiza miaka 16: Je, imebadilisha maisha ya Mwananchi wa kawaida?

    Kenya leo inaadhimisha miaka 16 tangu Katiba ya Kenya ya 2010 ilipotangazwa rasmi tarehe 27 Agosti 2010, chini ya uongozi wa Rais wa wakati huo, Mwai Kibaki. Katiba hiyo ilileta mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala nchini, ikilenga kupeleka mamlaka karibu na wananchi, kulinda haki zao na...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosa Harufu Miaka 3: Madaktari Nisaidieni

    Ndugu wana jamiiforum hasa madaktari, mimi ninashida ya kukosa kusikia harufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Madaktari wamejaribu kunipa dawa za ku spray pamoja na vidonge vya alegy lakini bado sijapata nafuu yoyote. Naomba msaada kwenye tuta. Nipigie I 0773 031227
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndejembi atakula mafao na pensheni kwa miaka mingapi mbele!?

    Katika hizi teuzi za nafasi kubwa serikalini ni vizuri kuteua watu ambao umri umeenda kidogo ili kulipungizia Taifa gharama ya kuhudumia Wastaafu kwa miaka mingi ijayo. Mtu kama Ndejembi akiwa makama wa Rais Sasa kwa miaka mitano tu na yuko below 60 hata Nchimbi for God sake watakula hizo 80%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…