mpya

  1. For sale Nauza Epson printer L3250 mpya

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 450,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
    TZS450,000.00
  2. Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  3. Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

    Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu. Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja...
  4. Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga azindua Namba Mpya ya Huduma kwa wateja TANESCO

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano. Huduma hii inalenga...
  5. Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  6. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  7. Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

    1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo. 3. Wizara ya Fedha inataka mweledi na mwenye...
  8. Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  9. Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  10. Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  11. AJIRA MPYA NA CONNECTION (MTU NA MTU WAKE)

    Wakati namsikiliza waziri Simbachawene akizungumzia ajira mara nasikia anatoa taarifa ya kumuunganishia ndugu yake kupata ajira. Ni juzi ametukataza waombaji tuditafute connection!!!! Ni juzi amedai ajira zinatoka kwa uwezo!!! Ni juzi wasailiwa wametoka na kudai kuwa usaili unajanjajanja...
  12. R

    Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  13. Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  14. Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  15. E

    Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
  16. Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

    All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu. Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
  17. Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  18. Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

    Wakuu, Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi. 1. Centrifuge 2. Water Bath 3. Microscope 4. HB Machine 5. BP Machine 6.Weighing Scale 7.Blood collection tubes 8.Autoclave...
  19. Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  20. N

    Marioo balozi mpya Bahati Nasibu ya Taifa

    Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu wa kimkakati unaleta matumaini, burudani, na fursa zinazoweza kubadilisha maisha ya Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…