muhtasari matukio novemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 30, 2025

    Mwigulu: Rais Samia ameagiza Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Rais Samia amelielekeza Jeshi la Polisi kusitisha kumtafuta Askofu Josephat Gwajima kama lilivyotangaza awali, ili aendelee na shughuli zake na kutoa fursa ya kujenga umoja wa...
  2. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 24, 2025

    Wakfu wa Thabo Mbeki wasema Tanzania Haina Serikali Halali Baada ya Uchaguzi Mkuu, yasisitiza mazungumzo ya wazi Wakfu wa Thabo Mbeki umetoa taarifa ukieleza kwa masikitiko makubwa kuwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 haukutimiza kanuni za kidemokrasia, baada ya waangalizi wa SADC...
  3. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 23, 2025

    Serikali yavitaka vyombo vya habari vya nje kutozingatia weledi na taratibu za uandishi, yasisitiza nchi ipo salama Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amesema serikali ya Tanzania imesikitishwa na ongezeko la vyombo vya...
  4. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 22, 2025

    Mbeya: Polisi wakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limemkamata mtengeneza maudhui mtandaoni na Mwalimu wa Shule ya Awali ya Mtakatifu Clemence, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni “A”, kwa tuhuma za kutoa na kusambaza...
  5. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 21, 2025

    CNN waachia ripoti ya uchunguzi wa mauaji wakati wa uchaguzi, wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar Kituo cha Habari cha Kimataifa cha Cable News Network (CNN) kimeachia ripoti yake ya uchunguzi kuhusu mauaji ya raia wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 20, 2025

    Samia azindua Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa Uchaguzi, ataka uchunguzi kauli za upinzani, ushiriki wa NGO na madai ya vijana kulipwa kufanya vurugu Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati na baada ya Uchaguzi, akisema...
  7. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 19, 2025

    CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wapinga Tume ya uchunguzi aliyoiteua Rais Samia Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT-Wazalendo vimepinga Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, vikieleza kuwa haina uhalali wa kisheria, kisiasa na kimaadili. Vyama hivyo vinasema tume hiyo imeundwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 18, 2025

    Samia aunda tume Kuchunguza ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa uchaguzi, itaongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande Rais Samia ameunda Tume ya Uchunguzi kwa ajili ya kuchunguza ‘matukio ya uvunjifu wa amani’ yaliyotokea nchini Tanzania wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, na...
  9. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania -Novemba 17, 2025

    Lissu aiomba Mahakama Kuu aunganishwe kama mdaiwa kwenye kesi ya Mgawanyo wa Mali za Chama Mkurugenzi wa Mambo ya Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Gaston Shundu Garubindi, kupitia mtandao wa X amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, ameomba kuunganishwa kama mdaiwa kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 16, 2025

    Serikali yakanusha video ya miili kuonekana Hospitali ya Mwananyamala, yadai imetengenezwa kuleta taharuki Serikali kupitia Wizara ya Afya imekanusha madai yaliyosambaa mtandaoni kuanzia Novemba 15 usiku kupitia video ambayo ilikuwa inaonyesha miili ya watu waliofariki ikiwa imelezwa sakafuni na...
  11. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 14

    Rais Samia afungua Bunge la 13, atoa msamaha kwa watuhumiwa wa uhaini, aahidi marekebisho ya Katiba na kutoa wito wa Maridhiano Rais Samia akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025, ameanza kwa kutoa pole kwa majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao katika matukio ya Uchaguzi Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 12

    Chama cha Mawakili wa Serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vikali vurugu, mauaji na uharibifu wa mali vilivyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025, na kutoa pole kwa waathirika huku...
  13. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania - Novemba 13

    Mawakili Mwabukusi na Mpoki wahojiwa kwa makosa ya ‘kuhamasisha maandamano ya Desemba 9 kwa Lengo la Kuvunja Muungano’ Jana, Novemba 12, Wakili Mwandamizi, Mpale Kaba Mpoki alipokea wito kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kawe akitakiwa kufika Kituo cha Polisi Mbweni leo Novemba 13...
  14. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 11

    Zungu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mbunge wa Jimbo la Ilala na aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 12, Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 378 kati ya kura 380 zilizopigwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 10

    Kanisa Katoliki lafanya misa takatifu kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu, wasisitiza hakuna amani bila haki Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema haki ndiyo msingi wa amani, akisisitiza kuwa amani haiwezi kupatikana bila haki...
  16. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Matukio Muhimu Tanzania: Novemba 9

    ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao chake cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichofanyika Oktoba 7, kimelaani vikali Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, kikisema ulikuwa na udanganyifu, vurugu, na ukiukwaji mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…