Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini?
Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...