naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

    Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa. Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM. Mume wake anagari ambalo...
  2. Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari yako, mashamba na mali zako zote wewe mwanaume mwenzangu huwa unazificha wapi? Nataka mke wangu huyo...
  3. Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

    Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar. Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya...
  4. Naomba kujuzwa lodge za bei nafuu dodoma

    Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
  5. Naomba kazi au connection za kazi zote professional

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale. Naomba kama kuna mwenye kazi au connection za kazi zote professional nimesoma kozi ya accounting with IT na ambazo si professional nafanya kwa moyo mmoja aniconnect nofanye kazi au kama ni kwakujitolea walau kwa malipo ya kujikimu. Nipo dar es salaam...
  6. Naomba kumjua huyu Afande ambaye mara nyingi huwa anaongoza itifaki kwenye misiba ya kitaifa na misiba ya wanajeshi wa Vyeo vya Juu

    Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein. Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo. Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia. Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa...
  7. KERO Tigopesa wamelipia huduma kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu

    Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii, 👇👇 Dear Customer, you have Successfully done Payment for Google play store. Nilivyoona hiyo text nikaenda kwenye account yangu ya tigo nikakuta kweupe...
  8. Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  9. Kama unahitaji Magari au una tenda kwa ajili ya kubeba mizigo naomba tuwasiliane .

    Habari ya uzima. Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane . Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons. Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
  10. Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  11. Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  12. E

    Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  13. A

    Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

    Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
  14. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  15. J

    Mwenye riwaya soft copy za kiswahili naomba

    Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
  16. Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
  17. L

    TOOLS FOR SALE, SINA UTAALAM NAZO NAOMBA OFFER

    Tools pitia picha chini
  18. Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  19. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  20. L

    Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…