Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu.
Nilisikia walihamia Tegeta ila kwa bahati mbaya kwasasa sina mawasiliano yao, yoyote ambae anawafahamu...