wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

    Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena. Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa...
  2. J

    Wanasiasa na tabia za kizandiki ni Kama chapati na supu

    Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe. Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
  3. Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  4. J

    Kazi kubwa ya Wanasiasa ni kujidanganya wao wenyewe wala si kuwadanganya Wananchi

    Katika modern world walichobakinacho Wanasiasa ni Kujidanganya Wao binafsi huku Wakiamini Wanawadanganya Wananchi. Wanasiasa wa Dunia ya Leo ndio wale akina Herode walioamini Wanawadanganya Mamajusi kumbe Herode alikuwa anajidanganya Yeye Mwenyewe. Nawatakia Maulidi Mubarak 😄
  5. Ni bahati mbaya sana kwamba tunaongozwa na wanasiasa

    Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo. Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana. Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo. Nchi, Taifa, Taasisi nyeti kabisa...
  6. M

    Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  7. Wanasiasa na wanataaluma msipotoshe jamii kwa maksudi

    ................, (Salamu kwa kilugha chenu) Ndugu zangu wa Tz, naomba niweke wazi msimamo wangu, mm naunga mkono uwekezaji katika bandari na nyanja nyingine zote katika nchi hii ENDAPO kutakuwa na masharti yanayoinufaisha Tz pia (win - win situation) Katika suala la Bandari baada ya mkataba...
  8. Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

    Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala. Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
  9. Hivi kwanini tunawaita wanasiasa waroho na wasaliti waheshimiwa/Honorable/Excellence tunajidharirisha tuache.

    Hellow, Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani. watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni...
  10. Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums. Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
  11. R

    Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
  12. G

    Ni wanasiasa gani waliochangia dini za wenzao majukwaani?

    Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais. Je, ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi...
  13. B

    Wanasiasa wanavyotumia dini kuwanyonya/kuwakandamiza raia

    1. Eti msichanganye dini na siasa wakati kwenye misaafu tunasoma dini na siasa haviwezi kutenganishwa. Na ndiyo maana viongozi wetu huapa kwa misaafu hiyo. 2. Eti viongozi wa dini wanapaswa kuwafundisha waamini wao Unyenyekevu na utii kwa mamlaka (serikali) hata kama inawanyanyasa! Hii siyo...
  14. CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

    Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi??? Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
  15. Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  16. Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  17. Tusipoweka utaratibu wa kuwawajibisha wanasiasa tumekwisha

    Kusema kweli maamuzi wa Rais Magufuli kuvunja mikataba tuliyoingia b yanatugharimu sana kama Taifa. Na yatatugharimu sana kama Taifa. Hizi kesi tunazoshtakiwa na sasa tunalipa mabilioni zinatuumiza sana na itachukua muda mrefu sana kama Taifa kuanza kuaminiwa. Mbaya zaidi zinatufedheesha sana...
  18. Mateja wa UNGA ni zao la SIASA

    Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO bila kuchelewa. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
  19. Wanasiasa bora wa muda wote toka upinzani

    Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini. 1. Hayati Maalim Seif Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la Maalim Seif kwenye siasa za nchi hii kutokea upinzani. Huwa najiuliza huyu dingi aliwapaga nini wazenji...
  20. Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    Wakuu, Nlikuwa nasikiliza hotuba ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Julai 22 mwaka 1967 Baada ya kuwapokea Vijana waliotembea kwa Miguu kutoka Moshi. Alikuwa anaongelea kuhusu wanasiasa kununulika, Yaani hawa wananunulia na kusaliti vyama vyao au jamii iliyowachagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…