Salaam,
Kuchepuka kwa Muktadha Wa Andiko Hili ni Kile Kitendo Cha Mmoja kati ya Wanandoa Kushiriki Mahusiano Mengine njee Ya Yale Mahusiano Rasmi Yanayotambulika.
Simaanishi Mahusiano Kabla ya Ndoa,, Huko hakuna Kuchepuka kwa sababu Hapo hakuna Mwenye Haki Halali juu ya Mwenzie. Huo labda...