Mwanahabari Huru please take note of this. Timu ya wataalamu wa kufanya summary ya hizi points iwepo hapo kwa kazi hii tu! Kuna mambo mazuri sana humu ya ku adapt!
 
Missile of the Nation,
Hiyo itakuwa siyo mkutano ya kunadi sera bali kukumbushana yaliyopita!
Watu ni wepesi wa kusahau, uwakumbushe kuwa Magu ni mwongo msimwamini tena na tena. Then unapiga sera/ilani. Muda umetengwa hivi:
1. 1 hr or so......... kumbusha uongo/mauaji/wizi/utekaji/utesaji/UUAJI=Ben, Mawazo na wengine/ kukosa uhuru wa kutoa maoni/ etc etc etc
2. 2 hr or so.......piga ILANI/sera etc etc etc
 
Kumbe!
 
Ushahidi wa kisheria au kimahakama upo?
 
Jamani Magu tuna muhitaji sana hatutaki afe mapema,tunahitaji siku moja atueleze wasiojulikana ni akina nani na nani alikuwa anawalinda ?
 
Mgombea gani anafafanua ilani?. Mbona watu 2010 waliahidi elimu bure ccm ikawabeza lakini 2015 walichukua.

Pia ilani ya ccm imeahidi ajira mpya mil 8, kwa nini usiwambie ccm wafafanue watatengezeza vipi hizo ajira, wakati 2015/2020 wameshindwa kutemgeneza hata ajira mil 1 ?.

Vipi Magufuli alituahidi wasiojulilana kwenye utawala wake?.
 
Pia awakumbushe wananchi jinsi watoto waliosoma private wanavyonyimwa mikopo na bodi ya mikopo ...pia wafanyakazi walivyonyimwa kupandishwa madaraja hasa walimu

Hili nalo neno, eti babako akiwa TIN, VRN au ameajiriwa na ni meneja basi hupati mkopo
 
Nukuu:

3. Kuhusu ndege, hiyo endelea kuponda, piga spana kwelikweli, ni mradi feki

4. Kuhusu kujenga uwanja wa ndege Chato, yaani hii usiiache kila mahali, piga spana, piga nyundo, siliba kwelikweli


Nimecheka sana.

Namshauri aanze kuzoea kusema "Serikali ya CHADEMA" ili ajitofautishe na yule anayesema serikali "YANGU"
 
Watu msiokuwa na elimu ya intelligencia mnakwama sana, hivi unadhan hao unaowaita mashekhe waliopo huko walipo hifadhiwa kwa bahati mbaya!! Masuala ya ulinzi wa Nchi hayahtaj huruma kwa mtu yeyote yule anaeonekana kirusi katk Nchi yoyote ile. Huwa tunawachora tu mnavyowalilia hao mashekhe wenu, na kwa taarifa yko ni kwmb hata mpinzani akishika dola, hawez kuwatoa hao watu huko walikohifadhiwa. Huu ni mkakati wa kiulinzi zaid siyo kisiasa.
 
Naunga mkono hoja, pia awaeleze wananchi utapeli ma ccm yalivyoahidi milioni 50 kwa kila kijiji!.
 

intelijensia inakamata masheikh tu? mbona wale ambao walisaini mikataba ya kifisadi ya madini wapo mtaani tu mpaka sasa wanakula bata?

Kama Intelijensia ina ushahidi dhidi ya tuhuma kwa hao masheikh, kwa kwa nini katika miaka yote sita masheikh hao wakiwa ndani haijaufikisha ushahidi huo mahakamani wahukumiwe?

Na kama intelijensia iko vizuri kiasi hicho kwa nini haijawakamata waliompiga risasi Lissu, au kumkamata aliyewapoteza Azory Gwanda, Ben Saanane, Kanguye na nani aliyewaua wale watu waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba?
 
Yakwangu Ni haya:
1. Kilimo- kinaajili asilimia kubwa ya wananchi. Kilimo Cha kusubiri mvua nishida kwa wananchi. Eleza mpango wa kujenga miundombinu ya umwagiliaji kwenye maeneo yanayowezekana na wananchi wewezekwenda kiendesha. Mashamba ya umwagiliaji kwa mpango maalumu.

2. Michezo Ni ajira na nichanzo Cha mapato kwa halmashauri na Kodi Kama VAT. Sema viwanja vyote vya michezo vilivyoporwa na CCM utavirejesha katika halmashauri za miji au majiji. Vilijengwa kwa nguvu ya wananchi wote na wasio CCM walichangishwa kwa nguvu kwa kuongeza being za bidhaa, nauli za usafiri na tozo katika kupata huduma. Sema utaboresha viwanja vyote kwa kuviwekea nyasi za badia ili wachezaji wazoee pitch za kimataifa.

2. Kuhusu uwanja wa ndege wa Chato - ponda kabisa, na kampuni iliyoujenga niyakwake Mayanga. Ongezea na taa za kuongoza magari, pale hakuna magari yanayohitaji kuongozwa kwa taa. Taa zimebaki kuongoza mikokoteni ya punda tu. Geita mji Mkuu wa mkoa hakuna taa kabisa.
 

Thanks nyundo zimetulia hizi
Lissu na wasaidizi wake wazione!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…