Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hivi unasemaje kuwa unamuendeleza mtu bila kuwa na vitu.

Kipimo cha maendeleo ya mtu ni vitu.
 
Itakuwa chini ya kiwango hicho kwasababu selikali yetu ya awamu ya sita chini ya kamanda lissu itasubsdize 20% kwa kila mtu.

Tutatumia mfumo wa PPP public private partnership kujenga miundombinu na kuweka tozo nafuu Kama daraja la NSSF kigamboni

ili fedha nyingi ya Kodi na mapato isaidie ustawi wa watu.
Ndio mnadanganya watu hivyo? Wajinga na wapumbavu wenzako ndio mjidanganye. Kama Usa na Ulaya hakuna hiki kitu nyie matapeli ndio mtaweza?
 
Ila ni aibu sana kama magu akishindwa huu uchaguzi.naona kashaanza kuwaonea wivu waliomtangulia eti anasema;
nyerere alipewa 27.
Mwinyi akapewa 10
Mkapa akapewa 10
Jk akapewa 10
Na mimi naombeni 10 jamani
Mitano sio vizuri.
Yaani hadi nilijikuta naingiwa na huruma ghafla
 
Ww upo kijiji gani?tuanzie hapo
adhulumiwe nini? , huwezi shinda urais bila kuweka base kweny mashina, yaani vijijini huko, zunguka vijijini uone namna watu wengi walivyo kuwa CCM, vyama vya upidhani wanadhani mitandao,vijana mijini tena wale oya oya ndo base ya ushindi, bila kuwekeza kufungua matawi ya chama kila kijiji na mpaka vitongoji wasahau
 
Ndio maana serikali inajenga hospital kwa kutumia pesa ili wananchi watibiwe. Hoja hapo ni kuwa nyumba inajengwa ili itumiwe na watu. Ndio maana ya maendeleo ya watu. Serikali inaboresha miundo mbinu,afya na elimu ili watu wanufaike. Tumia akili kabla ya kuandika upuuzi.
Mkuu unabishana na MPUMBAVU, mtu yeyote aliyedakia msemo wa maendeleo ya watu sio vitu, reasoning capacity yake iko chini sana(ana upeo/uelewa mdogo). Eti hospitali ya kisasa ni maendeleo ya vitu. Anajengewa Mbuzi/ng'ombe?, Wanasiasa wanasababisha baadhi ya wananchi wawe WAPUMBAVU.
 
Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.

Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?

Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
Kwani kwa Tanzania bima inakatwa kwa sh ngapi Kama wewe siyo kilaza,,chukua 192,000 ambayo ni makato ya mtu mmoja zidisha mara watu sita wanaotakiwa kunufaika na bima yako itakuwa sh ngapi?
 
Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.
Euro 275 sio hoja, hoja ni kuwa watu wote kuwa na bima ya afya kwa gharama nafuu, Ile CHF mmefikia wapi au ni njia nyingine ya kula hela za wananchi!, Siku hata mama mjamzito akienda kujifungua anatakiwa kwenda na vitu vya gharama zisizopungua TSH 20K. Ile huduma ya bure kwa watoto wa chini ya miaka mitano mmepeleka wapi!

Na huyo mzee wenu japo hawezi kupita ila akipita hivyo vya bure vyote mtasahau
 
CDM wao maji, umeme, barabara, usafiri wa anga na majini sio vipaumbele, kipaumbele chao ni kugawa pesa kwa wananchi, wafanyabiashara wasilipe kodi, uhuru wa faragha ( ushoga) , hii ni ilani au takataka?
 
Duh kazi kubwa sana..., unajua maana ya subsidy?, (ruzuku) hata kipindi matibabu yalivyokuwa bure sio kwamba dawa zilikuwa zinaokotwa bali zilikuwa zinanunuliwa kutoka kwenye makusanyo ili kuweza kuwapa wananchi wao matibabu..., kwahio hata kama gharama itakuwa trillion moja kwa kila mwananchi (issue sio ukubwa ua udogo wa gharama) issue ni hio gharama inalipwaje na nani anailipa...

Sijui huenda atapunguza mishahara ya hao waheshimiwa ili iende kulipia gharama za universal healthcare who knows... (ninachojua haya mambo ya watu maiti zao kuwekwa rehani mahospitali is not a way to go)
 
Ndio mnadanganya watu hivyo? Wajinga na wapumbavu wenzako ndio mjidanganye. Kama Usa na Ulaya hakuna hiki kitu nyie matapeli ndio mtaweza?
Wasiojiweza watalipiwa na kodi zetu na mifumo ikitengenezwa isiyo ya kufisadi na kufikisha pesa itakuwa rahisi kwa mtanzania na tutapata bima wote tayari wapo ambao wana bima na by the way CCM wepesi sana kwa sasa magu kaharibu kila sehemu hadi anaona aibu kutuomba kura, hivi zile 50m za kila kijiji jpm amezigawa?
 
Kwenye interview yake jana mbona ameweka wazi kua gharama ya bima hutozwa kulingana na kipato chako au hali yako ya kiuchumi

Lakini hata hivyo alisema hakuna utofauti wa kimatibabu kwamba aliyelipa bima kwa gharama kubwa kutokana na level yake ya maisha basi hata matibabu yatafanana na yule masikini ambaye bima yake ililipwa kwa gharama ndogi
 
Jamani
Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.

Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?

Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
jamani jamani jamani; bima inalipia "Consultation fees and medine". Tundu Lissu na alioambatana naye walistahili kula, kunywa na kulala
 
Euro 275 sio hoja, hoja ni kuwa watu wote kuwa na bima ya afya kwa gharama nafuu, Ile CHF mmefikia wapi au ni njia nyingine ya kula hela za wananchi!, Siku hata mama mjamzito akienda kujifungua anatakiwa kwenda na vitu vya gharama zisizopungua TSH 20K. Ile huduma ya bure kwa watoto wa chini ya miaka mitano mmepeleka wapi!

Na huyo mzee wenu japo hawezi kupita ila akipita hivyo vya bure vyote mtasahau
Hayo maswali ya kipuuzi na kishoga muulize mpumbavu mwenzako technically . Unataka kusema hujui kuwa watoto na wazee wanatibiwa bure?
 
Kumbe matibabu ukiwa nje ya nchi ulaya ni bima tu ?

Ulipii pango ulipii Kodi ulipii chochote unaishi miaka 3 ulaya?

Unakula kwa bima unaishi kwa bima unasafiri kwa bima .

Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.?
Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]The most expensive patient on earth....!!!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom