Nasikia aliyekuleta duniani alibakwa wakati anauza pombe ya kienyeji.Alipo kuwa ubelgiji nasikia ni sifa yake kuu.
Ndio mnadanganya watu hivyo? Wajinga na wapumbavu wenzako ndio mjidanganye. Kama Usa na Ulaya hakuna hiki kitu nyie matapeli ndio mtaweza?Itakuwa chini ya kiwango hicho kwasababu selikali yetu ya awamu ya sita chini ya kamanda lissu itasubsdize 20% kwa kila mtu.
Tutatumia mfumo wa PPP public private partnership kujenga miundombinu na kuweka tozo nafuu Kama daraja la NSSF kigamboni
ili fedha nyingi ya Kodi na mapato isaidie ustawi wa watu.
Aiseeee !!MUNGU wetu ni mwema kumponya View attachment 1558092
Alisema lazima bima iwe uero 275??Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.
adhulumiwe nini? , huwezi shinda urais bila kuweka base kweny mashina, yaani vijijini huko, zunguka vijijini uone namna watu wengi walivyo kuwa CCM, vyama vya upidhani wanadhani mitandao,vijana mijini tena wale oya oya ndo base ya ushindi, bila kuwekeza kufungua matawi ya chama kila kijiji na mpaka vitongoji wasahau
Mkuu unabishana na MPUMBAVU, mtu yeyote aliyedakia msemo wa maendeleo ya watu sio vitu, reasoning capacity yake iko chini sana(ana upeo/uelewa mdogo). Eti hospitali ya kisasa ni maendeleo ya vitu. Anajengewa Mbuzi/ng'ombe?, Wanasiasa wanasababisha baadhi ya wananchi wawe WAPUMBAVU.Ndio maana serikali inajenga hospital kwa kutumia pesa ili wananchi watibiwe. Hoja hapo ni kuwa nyumba inajengwa ili itumiwe na watu. Ndio maana ya maendeleo ya watu. Serikali inaboresha miundo mbinu,afya na elimu ili watu wanufaike. Tumia akili kabla ya kuandika upuuzi.
Nyumba inajengwaje wakati mtu hauna pesa mfukoni
Tukiwaita wapumbavu mnalialia
Pumbavu kabisa.
Kwani kwa Tanzania bima inakatwa kwa sh ngapi Kama wewe siyo kilaza,,chukua 192,000 ambayo ni makato ya mtu mmoja zidisha mara watu sita wanaotakiwa kunufaika na bima yako itakuwa sh ngapi?Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.
Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?
Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
Euro 275 sio hoja, hoja ni kuwa watu wote kuwa na bima ya afya kwa gharama nafuu, Ile CHF mmefikia wapi au ni njia nyingine ya kula hela za wananchi!, Siku hata mama mjamzito akienda kujifungua anatakiwa kwenda na vitu vya gharama zisizopungua TSH 20K. Ile huduma ya bure kwa watoto wa chini ya miaka mitano mmepeleka wapi!Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.
Wasiojiweza watalipiwa na kodi zetu na mifumo ikitengenezwa isiyo ya kufisadi na kufikisha pesa itakuwa rahisi kwa mtanzania na tutapata bima wote tayari wapo ambao wana bima na by the way CCM wepesi sana kwa sasa magu kaharibu kila sehemu hadi anaona aibu kutuomba kura, hivi zile 50m za kila kijiji jpm amezigawa?Ndio mnadanganya watu hivyo? Wajinga na wapumbavu wenzako ndio mjidanganye. Kama Usa na Ulaya hakuna hiki kitu nyie matapeli ndio mtaweza?
Jana mh Lissu ....
i bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
KUMBE INAHITAJI AKILI TU. BILION 12 ALIKUWA ANAUMWA NINI?Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.
jamani jamani jamani; bima inalipia "Consultation fees and medine". Tundu Lissu na alioambatana naye walistahili kula, kunywa na kulalaJana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.
Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?
Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
Hayo maswali ya kipuuzi na kishoga muulize mpumbavu mwenzako technically . Unataka kusema hujui kuwa watoto na wazee wanatibiwa bure?Euro 275 sio hoja, hoja ni kuwa watu wote kuwa na bima ya afya kwa gharama nafuu, Ile CHF mmefikia wapi au ni njia nyingine ya kula hela za wananchi!, Siku hata mama mjamzito akienda kujifungua anatakiwa kwenda na vitu vya gharama zisizopungua TSH 20K. Ile huduma ya bure kwa watoto wa chini ya miaka mitano mmepeleka wapi!
Na huyo mzee wenu japo hawezi kupita ila akipita hivyo vya bure vyote mtasahau
Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]The most expensive patient on earth....!!!Kumbe matibabu ukiwa nje ya nchi ulaya ni bima tu ?
Ulipii pango ulipii Kodi ulipii chochote unaishi miaka 3 ulaya?
Unakula kwa bima unaishi kwa bima unasafiri kwa bima .
Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.?