Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Nyie ng'ombe mnataka Tundu Lissu ahidi tz kua km ulaya au chato? Mnataka Lissu aahidi km shein alivyosema ataifanya Zanzibar kua km dubai
Sasa mwanaume anazidi kuumguruma na miviongozi yenu itatoka mapangoni na kutoa ahadi kemkem wkt watu wamelia kwa miaka 5 yote hamna huruma ya mwanaccm yoyote

Hii hapa👇👇
Tundu Lissu kafanya kutetea wakulima na wafanyakazi na haya ndo matokeo yake.....
 

Attachments

  • 2507701_1599229064951.png
    2507701_1599229064951.png
    187 KB · Views: 1
  • 2507701_1599229064951.png
    2507701_1599229064951.png
    187 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200911_105630_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_20200911_105630_com.facebook.katana.jpg
    141.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1599219232550.jpg
    FB_IMG_1599219232550.jpg
    29.3 KB · Views: 1
  • IMG-20200904-WA0044.jpg
    IMG-20200904-WA0044.jpg
    65.3 KB · Views: 1
Lissu ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Lissu ni Mgombea urais Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.

Lissu ni mwanasiasa anayeamini katika uundaji wa Taasisi imara na mifumo thabiti ya kimuundo ikiwemo na sheria.

Si kama jiwe One man show.
 
Nyie ng'ombe mnataka Tundu Lissu ahidi tz kua km ulaya au chato? Mnataka Lissu aahidi km shein alivyosema ataifanya Zanzibar kua km dubai
Sasa mwanaume anazidi kuumguruma na miviongozi yenu itatoka mapangoni na kutoa ahadi kemkem wkt watu wamelia kwa miaka 5 yote hamna huruma ya mwanaccm yoyote

Hii hapa[emoji116][emoji116]
Tundu Lissu kafanya kutetea wakulima na wafanyakazi na haya ndo matokeo yake.....
Wewe kuku acha kuita watu ng'ombe
 
Lissu ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Lissu ni Mgombea urais Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.

Lissu ni mwanasiasa anayeamini katika uundaji wa Taasisi imara na mifumo thabiti ya kimuundo ikiwemo na sheria.

Si kama jiwe One man show.
Huijui sekta ya sheria wewe, Lisu hana mchango wowote huko,

Lisu ni mwanasiasa ambaye ni mwanasheria.
 
Pamoja na ukweli kwamba kampeni zinaendelea; kwa heshima na taadhima naomba kukushauri mambo yafuatayo Mhe.Rais wangu Tundu Lissu na Chama.

1. Kwakua umeahidi kufidia waliobomolewa nyumba kwa hila za Magufuli na walioondolewa kazini kwa vyeti feki bila kulipwa mafao; ...usicheleweshe jambo hili: Chama chetu kiratibu daftari kupitia ofisi za chama ili kupata data za wahanga wa mambo haya mawili wa kuanza nao Lissu atakapo pata ridhaa.

2. Chama kikusanye data za watu waliobambikizwa kesi mbalimbali na wenye ndugu wanaozea jela kea gilba za Awamu ya Tano ili ushughulikie mashauri yao waachiwe huru ndani ya siku 30 za kwanza.

3. Vijana kuanzia form 4 waliokosa ajira na vibarua panoja na wale walionyimwa mikopo ya elimu ya juu watambuliwe na wajiorodheshe kwenye Ofisi za Chadema kila Kanda, kila Mkoa, kila Wilaya, kila tawi na kila shina ili hao watakaomudu kujisajili Serikali ya Chadema ianze nao wakati ikiendelea kusuka mipango yake ya kuwafikia wote watakaosalia.

Ushauri huu unaendana na halihalisi ya kasi wanayotaka watanzania wa sasa; mambo yaende bila kucheleweshwa. Chama kiratibu orodha hizo pamoja na kutumia wataalam wake kukokotoa fidia na kubandika kwenye ofisi za chama kabla ya Uchaguzi na Mhe.Rais utangaze kulipa fidia hizo.

Ikumbukwe kwamba hata Magufuli anaendesha kampeni na kuanza utekelezaji wa baadhi za ahadi zake....sasa Lissu na wewe usichelewe.

Umekwisha amsha matumaini kwa makundi yaliyoonewa na kuachwa nyuma...sasa isiwe bure; anza kazi sasa!!!
 
Watanzania tunaogopa kusogelea ofisi za Chadema haziaminiki
Unaweza ukaingia usitoke
 
Isingekuwa busara na huruma ya mh. Rais Magufuli waliofoji vyeti wote walitakiwa wawe jela.
Eti walipwe mafao, kufoji ni kosa la jinai. Chadema acheni kutetea wezi.
 
Rafiki yangu na kaka yangu Lissu, watanzania wameumia vya kutosha chini ya utawala wa zaidi ya nusu karne wa ccm na pegnine zaidi, katika utawala wa awamu hii. Wanahitaji Sera mbadala, faraja na ahueni ya maisha ambayo umekuwa ukiinadi vyema, lakini kuna kitu umekuwa ukijisahau katika kampeni zako.

Wakati ukielezea mambo makubwa ya kitaifa, ivute hadhara yako kwa kutaja kero mahususi ndani ya local area yao na toa ahadi ya kushughulika na hizo kero mahususi ndani ya jimbo husika huku ukiwashawishi wamchague mbunge atakaye kusaidia kutatua hizo kero mahususi.

Ongea kama Rais mtarajiwa kwa mambo ya kitaifa kwa ujumla, lakini pia ongea kama mbunge kwa kutaja kero za eneo husika. Hapo jamii itakuelewa na kukuamini kuwa unazijua kwa dhati kero zao na utaweza kuzitatua.

Mfano ulipokuwa Tabora wakati ukihutubia kulikuwa na shouting kutoka kwenye crowd kuhusu vipalata, nashukuru ulisikia na kuliongelea. Juzi bagamoyo wakawa wanashout kuhusu bandari, n.k. Hiyo ni mifano michache tu niliyokupa naomba we we binafsi na timu yako kwa ujumla mlifanyie kazi.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
CC: Tumaini makene
CHADEMA

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 


Kituko cha gredi 1.. ila amewatia aibu wadau wetu wengi humu.. basi tu... naona Dr. Slaa akikumbukwa kila sekunde
 
Back
Top Bottom