Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Unaohusu Uhuru,haki na maendeleo ni sumu kwa wengine.
Wakuto dhulumu haki za msingi kwa mujibu wa Katina ya taifa letu.Uhuru wa wanaume kuowana?
Wewe kuku acha kuita watu ng'ombeNyie ng'ombe mnataka Tundu Lissu ahidi tz kua km ulaya au chato? Mnataka Lissu aahidi km shein alivyosema ataifanya Zanzibar kua km dubai
Sasa mwanaume anazidi kuumguruma na miviongozi yenu itatoka mapangoni na kutoa ahadi kemkem wkt watu wamelia kwa miaka 5 yote hamna huruma ya mwanaccm yoyote
Hii hapa[emoji116][emoji116]
Tundu Lissu kafanya kutetea wakulima na wafanyakazi na haya ndo matokeo yake.....
Huijui sekta ya sheria wewe, Lisu hana mchango wowote huko,Lissu ni Mwanasheria bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Lissu ni Mgombea urais Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.
Lissu ni mwanasiasa anayeamini katika uundaji wa Taasisi imara na mifumo thabiti ya kimuundo ikiwemo na sheria.
Si kama jiwe One man show.
Hata kipindi Nyerere anahangaika kutupa ukombozi kulikuwa na wapenda ukoloniWatanzania tunaogopa kusogelea ofisi za Chadema haziaminiki
Unaweza ukaingia usitoke
CC: Tumaini makeneRafiki yangu na kaka yangu Lissu, watanzania wameumia vya kutosha chini ya utawala wa zaidi ya nusu karne wa ccm na pegnine zaidi, katika utawala wa awamu hii. Wanahitaji Sera mbadala, faraja na ahueni ya maisha ambayo umekuwa ukiinadi vyema, lakini kuna kitu umekuwa ukijisahau katika kampeni zako.
Wakati ukielezea mambo makubwa ya kitaifa, ivute hadhara yako kwa kutaja kero mahususi ndani ya local area yao na toa ahadi ya kushughulika na hizo kero mahususi ndani ya jimbo husika huku ukiwashawishi wamchague mbunge atakaye kusaidia kutatua hizo kero mahususi.
Ongea kama Rais mtarajiwa kwa mambo ya kitaifa kwa ujumla, lakini pia ongea kama mbunge kwa kutaja kero za eneo husika. Hapo jamii itakuelewa na kukuamini kuwa unazijua kwa dhati kero zao na utaweza kuzitatua.
Mfano ulipokuwa Tabora wakati ukihutubia kulikuwa na shouting kutoka kwenye crowd kuhusu vipalata, nashukuru ulisikia na kuliongelea. Juzi bagamoyo wakawa wanashout kuhusu bandari, n.k. Hiyo ni mifano michache tu niliyokupa naomba we we binafsi na timu yako kwa ujumla mlifanyie kazi.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Chato hata umbea wa kuongea hawana.Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
tulia sindano ikuingie vizuri.Lissu aache kuongelea umbea jukwaani
Mwambieni yeye hagombei udiwani anagombea Urais
Naona umerudi baada ya UVCCM kunyimwa bajeti ya kampeni[emoji16]
Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa