Kwa hiyo mzalendo ni yule anayebana maisha ya watumishi kwa miaka mitano pasipo kuongeza mishahara?
lakini angalia mishahara ilivyo na uhakika kabla ya tarehe 30 kitu kinajibu accountini mlikuwa mmzoea kula mishahara miwili mitatu ya wafanyakazi hewa ndiyo mnao pata shida mmezoea vya kunyonga
 
lakini angalia mishahara ilivyo na uhakika kabla ya tarehe 30 kitu kinajibu accountini mlikuwa mmzoea kula mishahara miwili mitatu ya wafanyakazi hewa ndiyo mnao pata shida mmezoea vya kunyonga
Sasa mkuu kwa hiyo kuleta Mishahara tarehe 22 ya kila mwezi ina tofauti gani na tarehe 30 ya kila mwezi? Ukitulia chini utajua kwamba siku 30 ni zilezile!

Kingine sio kila mtu anayelalamika kua Mishahara haijaongezwa toka 2015 sio kwamba alikua mpigaji, Najua una akili pia, jifunze kutofautisha!
 
maana ya mshahara kuwahi ni hii mkuu mwanzo ilikuwa inachelewa mpaka 30 zinapita na haikuwa regular mpaka miezi inakutrana sasa hivi haipo hii maana ni watumishi halali tu
 
Anaedhamilia kufukuza machinga mijini ni mzalendo huyo
 
maana ya mshahara kuwahi ni hii mkuu mwanzo ilikuwa inachelewa mpaka 30 zinapita na haikuwa regular mpaka miezi inakutrana sasa hivi haipo hii maana ni watumishi halali tu
Kaka nenda kamdanganye mtoto huko! Naongea kitu ambacho ninakijua vizuri!

Haya na sababu ya kutoongeza Mishahara ni ipi? na kama kujenga wenzie walijenga na mishahara waliongeza pia!

Katika mambo ambayo Magufuli amefeli kabisa ni kuhusu Mishahara na ajira!! Alifukuza wafanyakazi hewa lakini hakuajiri wala kuongeza mishahara!

Naomba uongee logically na sio ushabiki kwenye maisha ya watu mkuu!
 
mzee wa Miga... the scare tactics

kontena zinazuiwa yeye anakuwa mkali[emoji3][emoji3]

Hatumpi mtu nchi ili aongoze kwa matamko ya beberu wake!

Katika wagombea wote waliowahi kugombea kupitia chadema, Lisu ndio atatia aibu kuliko wote
 
Tundu
Mwinyi
Mkapa ..

Jakaya
Kawawa
Makamba
Nyerere.

Umegundua nini kwenye haya majina?

Ni Tundu na Nyerere tu wenye herufi tofauti kwenye majina yao yasiyopatikana kwa wenzao wote.
 
WEWE NDIYO UNAONGEA USHABIKI nafikiri hata katika familia yako unamambo mengi ya kufanya lakini huwezi kuyafanya yote kwa wakati mmoja angalia na mambo aliyorekebisha usikimbilie mshahara kupanda tu
 
WEWE NDIYO UNAONGEA USHABIKI nafikiri hata katika familia yako unamambo mengi ya kufanya lakini huwezi kuyafanya yote kwa wakati mmoja angalia na mambo aliyorekebisha usikimbilie mshahara kupanda tu
Kaka mishahara kupanda ilikuwa ni sheria ambayo ilikuwepo hata kabla yake! iweje yeye aje kuinyang'anya haki ya watumishi kwa nguvu kwa kisingizio cha miradi?
Mausha yanapanda gharama, vitu vinapanda bei toka 2015, ila mishara ipo palepale! Watu wakilalamika mnasema walikua wapigaji! Yaani kwamba ninyi hamuoni au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…