Mwaka huu Hadi rahaa Sana ,ni matumani yangu mpaka Jane lowassa si mda ataludi chadema, maana pamoja na maombi aludi kwa chadema Bado anabisha kidogo huku moyo unamuuma ,Asante mungu sijawai kukutumikia kwa kadri upendavyo ila yote ulio niambia tangu saa sita na dakika moja 2020 nayaona Kama vile naangalia tv
 
Watanzania mnapenda kuongea bila statistics. Statistics ni muhimu sana katika kufanya maamuzi.Huyu MTU akija kupata asimilia 20,mtasema nn?
Kwa mfumo wetu wa uchaguzi hata anaweza kutangaziwa hata 5% japo zitakuwa za tume.
 
Mmoja wa wanufaika wa system. Na jiwe keshajiapiza kuwa akishinda tu, tutalimia meno.
 
Huo ndio ukweli wenyewe,CCM sasa hivi mawazo yao yamebakia kwa NEC kuwabeba kuiba kura wakiamini watatuzuia kuzilinda,this time tutafanya ulinzi shirikishi wa kura kwa wananchi kutoa ushirikiano kwa askari rasmi na wale wa jeshi la akiba.Wezi wa kura wafahamu hilo mapema ili wasije kusema hatukuwaonya maana tutawatoa kinyesi.
 
Watanzania mnapenda kuongea bila statistics. Statistics ni muhimu sana katika kufanya maamuzi.Huyu MTU akija kupata asimilia 20,mtasema nn?
Kuna maccm kama Polepole yana DHAMBI. Unafunga MIRIJA ya UCHUMI Nchi nzima. Wananchi wanalia NJA.

Wakisema vyuma vimekaza eti unawafunga badala kufungua mirija ya Uchumi.

Huu ujinga wote unafanywa ili uweze kuwaDHIBITI siku ya UCHAGUZI kwa kuwapa buku mbili wajaze viwanja.
 
Kuna chuo cha uraisi?bwashee umepuyanga..Nyerer si alikuwa mshika chaki tu..
 
Nikiwa mwaka CCM kwa miaka 30.sasa nasema sitachagua kiongozi yoyote wa CCM mwaka huu diwani na mbunge wangu wote walitoa rushwa kupitishwa . Nachagua upinzani? Kura ni yangu usonifokee.
 
Nikiwa mwaka CCM kwa miaka 30.sasa nasema sitachagua kiongozi yoyote wa CCM mwaka huu diwani na mbunge wangu wote walitoa rushwa kupitishwa . Nachagua upinzani? Kura ni yangu usonifokee.
Umechagua fungu jema kumkataa shetani ccm na mawakala wake wote.
 
Kweli mkuu
 
Hayo yanapatikana katika haki uhuru namaendeleo
Kwakuwa amebeba ujumbe mzito wakatiba mpya inakwenda kuinufaisha Tanzania na siyeye binafsi .yote tumepata in nshaaalah tumpekura ni yeye
Ila akizungumzia hilo litampa kura nyingi sana
 
Hata Magu yalikuwa no majaribio. Nwenyewe alikuwa anabeep tu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…