Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Nakusihi eeeh rais wa Tanzania Mtarajiwa Ndugu Tundu Lisu, kwenye kampeni zako gusia na Michezo, huku kuna wapiga kura wengi sana. Ningeshauri Sera yako iwe kwamba Timu yoyote itakayofuzu kwenye mashindano ya kimataifa ( Iwe timu ya Taifa au club) basi liwe ni jukumu la serikali kuihudumia timu hiyo paka mashindano yatakapoisha.
Hapo lazima ule kura za kumwaga rais wangu.
 
Nakusihi eeeh rais wa Tanzania Mtarajiwa Ndugu Tundu Lisu, kwenye kampeni zako gusia na Michezo, huku kuna wapiga kura wengi sana. Ningeshauri Sera yako iwe kwamba Timu yoyote itakayofuzu kwenye mashindano ya kimataifa ( Iwe timu ya Taifa au club) basi liwe ni jukumu la serikali kuihufumia timu hiyo paka mashindano yatakapoisha.
Hapo lazima ule kura za kumwaga rais wangu.
Tukiwa na katiba mpya yote yatajibiwa humo(yatabebwa)
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Hata Magu alijaribiwa. Tuambie Magu alikuwa Rais wa nchi ipi 2015?
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Kwani Magu alikuwa rais tangu kuzaliwa? Si alianzia mahala? Fikiria nje ya sanduku mkuu.
 
Hakika umeongea pointi kubwa sana Hoja yako ni nzuri sana.

Matanga wanaumia sana wakisikia hivi.

Ni YEYE 2020
 
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Ndugu ukiangalia vizuri watu kama wamanyamaza hivi nazani wana jambo wanataka kulisema ila wanasita.

Maeneo mengi hasa kwa wanaccm wanalalamika ila KM bwana Bashiru katoa onyo wanaccm wasaliti jichungeni hakuna mwanachama maarufu kuliko ccm yenyewe. Ila ukimya wenu Mimi kama Reykijaviki unaniogopesha mnaweza fanya jambo ambalo sio la kawaida mkakiacha chama vipandevipande tafadhali msifanye hivyo, kwa vile kura ni siri basi mnaweza kufanya mambo yenu sirini kuliko kujitokeza kuipinga ccm hadharani.
 
Back
Top Bottom