Watanzania mnapenda kuongea bila statistics. Statistics ni muhimu sana katika kufanya maamuzi.Huyu MTU akija kupata asimilia 20,mtasema nn?Kadiri siku zinavyozidi wanaomuunga mkono Lissu wanaongezeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania mnapenda kuongea bila statistics. Statistics ni muhimu sana katika kufanya maamuzi.Huyu MTU akija kupata asimilia 20,mtasema nn?Kadiri siku zinavyozidi wanaomuunga mkono Lissu wanaongezeka.
2015 tulifanya jaribio baya haijawahi kutokea. Tukampa urais kichaa. Akamteua waziri kichaa kichaa wa kushughulikia uvuvi.Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Tumpe Nani sasa mkuu,2015 tulifanya jaribio baya haijawahi kutokea. Tukampa urais kichaa. Akamteua waziri kichaa kichaa wa kushughulikia uvuvi.
Sasa huyu kichaa aondoke
Tukiwa na katiba mpya yote yatajibiwa humo(yatabebwa)Nakusihi eeeh rais wa Tanzania Mtarajiwa Ndugu Tundu Lisu, kwenye kampeni zako gusia na Michezo, huku kuna wapiga kura wengi sana. Ningeshauri Sera yako iwe kwamba Timu yoyote itakayofuzu kwenye mashindano ya kimataifa ( Iwe timu ya Taifa au club) basi liwe ni jukumu la serikali kuihufumia timu hiyo paka mashindano yatakapoisha.
Hapo lazima ule kura za kumwaga rais wangu.
Hata Magu alijaribiwa. Tuambie Magu alikuwa Rais wa nchi ipi 2015?Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Kwani Magu alikuwa rais tangu kuzaliwa? Si alianzia mahala? Fikiria nje ya sanduku mkuu.Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Tukiwa na katiba mpya yote yatajibiwa humo(yatabebwa)
Hakika umeongea pointi kubwa sana Hoja yako ni nzuri sana.
Matanga wanaumia sana wakisikia hivi.
Ni YEYE 2020
Ndugu ukiangalia vizuri watu kama wamanyamaza hivi nazani wana jambo wanataka kulisema ila wanasita.Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.