SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hili muhimu sana nimemsikia yule Mhutu KM wao akiwachimba biti kuwa ole wao watakaokisaliti chama kwenye uchaguzi, Tundu Lissu awaeleze kuwa kura ni siri hivyo wasiogope kuimwagalilia mbali pombe.Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.Tunataka statistics kutoka kwenye reliable sources. Sio hizo za kujitengenezea.Membe, alisema."Watanzania wanakuja ,kutusikiliza.Lakini ,wengine hawana kadi za kupigia kura.Wengine ,wanashangaa tu.Kwa hiyo sio wote wana pigs kura.Matokeo yakitoka nitacheka sana
Hata ufanye mazuri gani, ukiwa muuaji na mbaguzi hufai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Mikutano ya Magufuli, bila wasanii, bila ya kuwaamrisha wafanyakazi wa serikali na wanafunzi, ni aibu tupu. Kuna siku angehutubia nyasi za viwanja pekee na viongoxi wa CCM na green guards tu.Usibishe ukweli kilakitu nikubisha jana mzee kaweka mikutano 2 pamoja na fiesta yake lakini bado jamakakusanya mkoa mzima unaona nikasi yamchezo
Umesahau tulipitisha Sheria,ya takwimu inayowapa nafasi upande fulaniTupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi?
Ni kweli, ajaribu kuziomba kura za wana CCM kwani zile za wapinzani anazo tayari, ajaribu kuwaeleza ugumu wa maisha, uhuru ktk chama chao, namna kura za wajumbe hazikuthaminiwa na wakapewa wahamiaji kutoka vyama vya upinzani kugombea, namna chama cha CCM kinavyobadilishwa na ya kuwa baada ya miaka 5 kitakuwa kimeawaacha wafia chama wote.Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Wana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.
Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:
- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.
Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
Vijijini wanaielewa Sera ya Magufuli, kuliko matusi na jazba za Lissu. Lissu akiongea kwa zile jazba, wana kijiji wanaona kama anawafokea tu.Wasirudie kosa la 2015. Waliwekeza sana mijini kumbe kura zikapigwa vijijini.
Hii ndyo mbinu waliyobakiza. Ni kucheza na kura za vijijini bac
Anamaanisha Twitter, Facebook na Instagram ndio keishakamata. Bado Tik tok na Badoo!Tupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi?
Punguza kuchanganikiwa unakoelekea nguoutavua ushindi nilazima hatumpi mchoma nyavu halali zawavuvi lisu anatoshaWana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.
Mm sasa hv nipo katikati naweza kumpigia kura Magu ama Lissu......Kadiri siku zinavyozidi wanaomuunga mkono Lissu wanaongezeka.
NDUGU HII NCHI TAYARI ILISHAUNGANISHWA KITAMBO SANA NA HAYATI BABA WA TAIFA, HUYO LISU NDIO MDUDU GANI?
Watanzania gani au wale wa Belgium?
oktoba 28 tukamchague Mgombea wa CCM Dkt Magufuli aliyeweza kuunganisha Watanzania wote pamoja.
Hakika tuna kila sababu ya kumchagua tena MAGUFULI
Ushahidi Bashir alilalamika kuna wasaliti ndani ya chama!Tupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi?
Huyo Membe ni wa kwenu mbona na yupo kimkakati bahati mbaya hana timing.Tunataka statistics kutoka kwenye reliable sources. Sio hizo za kujitengenezea.Membe, alisema."Watanzania wanakuja ,kutusikiliza.Lakini ,wengine hawana kadi za kupigia kura.Wengine ,wanashangaa tu.Kwa hiyo sio wote wana pigs kura.Matokeo yakitoka nitacheka sana
Mnaambiwa ukweli mnasema ni matusi. Haya orodhesha matusi yake, siyo unakaririshwa na wanufaika, wakati ndugu zako huko Kolomije wanashinda njaa.Wana saccos mnajua kujipa moyo. Hivi kwa akili zenu nyingi, mnaamini huyu mwenye kutukana Serikali kila uchao atashinda?. Kumpigia Lissu kura, ni Sawa na kupoteza tu maana hata nusu ya kura alizopata lowasa hata pata.Ccm babalao.