Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
CCM kung'oka ni ngumu, ni kama mpini wa baiskeli hadi nyundo itumike.
Sihitaji kutumia sana nguvu kufafanua wengi mnafatilia kampeni.
1. Kufumua TRA na genge lote la walanguzuzi.
2. Utawala wa majimbo.
Katiba mpya.
Hayo mengine ni nyongeza.
Kama CCM ingeishi humo ingependwa sana
 
Unajuaje anahuruma au laa.? Na haya sio majaribio nchi tunawapa wapinzani. CCM mmekuwa kwenye majaribio mpaka sasa hamjielewi na Sera zenu za ujamaa kwendraaa
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
 
Kama kwenye mpira wa miguu hii ni dakika ya 40, hivyo mgombea wa Chadema usikate tamaa. Ushindi unaweza kupatikana.

Ukiwa jukwaani mwaga sera za Chadema, kwa umakini bila kupanick na kuhamaki.

Hoja ambazo zinakupa ushindi wa wazi ni kuwaeleza watanzania kwa unagaubaga jinsi JPM alivyoua sekta binafsi huku akitaka watu wajiajiri.

Eleza namna alivyonyima wakandarasi binafsi tender na kulazimisha kujenga kwa kutumia forced account na sasa wakandarasi wengi kampuni zao zimekufa.

Eleza kwa uwazi kama alikuwa anatumia forced account kwa nini Mayanga Contractors ipewe hiyo tender na sio Tanroads kujenga uwanja wa Chato

Eleza jinsi alivyonyima wizara na ofisi za umma pesa za matumizi, sasa hakuna tender za kusupply stationary na vitu vya kiofisi, wajasiliamali wengi wamefirisika.

Eleza jinsi Wachina wanavyopewa kandarasi ambazo hata wazawa wanaweza kuzifanya,sasa mzunguko wa pesa haupo,sababu wakilipwa pesa zinaenda China. Ila wazawa hawapewi hizi kazi wakati wanao huo uwezo kuzifanya.

Anza na haya kwa leo,hii ni dakika ya 45 unaweza kupindua matokeo anytime.

2019-12-13-iss-today-magafuli-banner.jpg
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000.

Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000.

Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.
 
Natamani azungumzie na wale walio ondolewa kazini kama mbwa kwa kigezo cha vyeti feki, wakati iliyo waajiri ni selikari ya CCM na iliyo watimua ni wao, mfumo wao mbovu wa utawala ndio ulisababisha hayo, kwa nini walio sababisha wapate ajili wameachwa hawjashughurikiwa?

Hao walifukuzwa wengine wamefanya kazi zaidi ya miaka 20, wanahitaji kufutwa machozi kidogo kwa sababu wao ni Watanzania wenzetu na sio Wamalawi, au Wakenya.
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000..
Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa, na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia. Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.
 
Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa,na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia .Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.
Kwani kujiajiri ni kuiba na kuhujumu mali za umaa?
 
Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa,na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia acha ujinga.Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.
Hayo yalikuwa masheria ya bei elekezi yaliyokuwa yanapangwa na mafisadi ili wapate kupiga fedha za umaaa, kibaya zaidi hayo matenda walikuwa wanapeana wenyewee na kuweka wake za hao mafisadiii. Hivyo magufuli amewasambaratisha na maufisadi yenu, ndio maana mko mnalialia hapaaa. Njooonii kijiweni tuzisake noti za halali vijanaa. Vya kunyonga havipo tenaa.
 
Hayo yalikuwa masheria ya bei elekezi yaliyokuwa yanapangwa na mafisadi ili wapate kupiga fedha za umaaa, kibaya zaidi hayo matenda walikuwa wanapeana wenyewee na kuweka wake za hao mafisadiii. Hivyo magufuli amewasambaratisha na maufisadi yenu, ndio maana mko mnalialia hapaaa. Njooonii kijiweni tuzisake noti za halali vijanaa. Vya kunyonga havipo tenaa.
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefungwa biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.

Kama JPM amedhibiti bei ambazo watu walikuwa wanajipangia anashindwa vipi kuangalia manunuzi yafanyike kwa uhalali hivi sasa?
 
Mambo ya kueleza yako mengi sana, mfano uvunjaji wa katiba aufanyao jpm waziwazi, haki za watu wazivunjazo polis pindi wanapoweka watu lockup zaidi ya SAA 24.
Polisi wanapiga raia ili wakiri makosa jambo ambalo ni kinyume cha sheria,watu wanabambikiziwa kesi na polisi kama,huna kitu kidogo. Lakini JPM hajatatua hii kero kabisa.
 
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefunga biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.

Kama JPM amedhibiti bei ambazo watu walikuwa wanajipangia anashindwa vipi kuangalia manunuzi yafanyike kwa uhalali hivi sasa?

Mama lishe gani ambae yuko hoi? Maana sikuiziii umeona mgambo wa kumwaga vyakula vya mama lishee? Mama lishe sikuizi wanapika vyakula adi barabarani, wala hakuna wakuwaulizia ata kidogo. Acha uvivuuu fanya kaziiii.
 
Ukiota unaota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi
Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.

Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:

- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.

Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
 
Mama lishe gani ambae yuko hoi? Maana sikuiziii umeona mgambo wa kumwaga vyakula vya mama lishee? Mama lishe sikuizi wanapika vyakula adi barabarani, wala hakuna wakuwaulizia ata kidogo. Acha uvivuuu fanya kaziiii.
Ndio maana nakuambia wewe unaishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda ukale chakula kwa mama lishe muulize hali ya biashara iko vipi? Kila siku chakula kinachacha hakiishi. Nenda kamuulize machinga biashara ikoje? Sio kukaa unatype tu alafu unajifanya unajua.

Vipi kuhusu forced account unajua ilivyoumiza makandarasi na wajasiliamali?
 
HATUKO TAYARI KURUHUSU MADIRI YARUDI TENA. HATUKO TAYARI KUONA MAKANDARASI MAKANJANJA WANAPEWA TENDA KUBWA HALAFU ZINAISHIA NJIA NA HELA WAMEPIGA. HATUKO TAYARI KUONA WAKE WA MAOFISA WA SERIKALI WANAFUNGUA STESHIONARY FEKI NA KUUZIA KARAM MOJA TSH 5000 . HATUKO TAYARI KUONA TENA WAKE WAWAKUBWA NDIO WASAMBAZA CHAI YA RANGI KWENYE MAOFISI YA UMA HUKU WAKIUZA KIKOMBE CHAI YA RANGI TSH 5000 NA KITUMBUA CHA MIA MOJA WAO WANAUZA TSH 2000 . HATUKO TAYARI KUONA UTAPELI WAKULA FEDHA BILA MIPANGILIO UNARUDIA TENA. BIG UP MAGUFULI, GOD BLESS YOU.
Mkuu weka siasa pembeni mbaba,kuwa serious na hatima ya maisha ya watu,nyie ndo msiomtakia Magu apate kura..
 
Back
Top Bottom