Ndugu, hivi yupi ni Bora Kati ya anayekwenda ikulu akiwa na plan na yule aliyesukumizwa? Ni yupi Kati yao aliyekwenda kuijaribu nafasi ya urais.?Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Kwanza, alishakiri kusukumizwa kwenye ngazi hii ya urais kwa maana hakuwahi kuwaza kuwa rais! Huko ccm wamejazana wasiofikiri hata kidogo! Mtu alishakiri mwenyewe kuwa hiyo kazi mliyomsukumizia ni ngumu kwake lakini bado mnamlazimisha kujifanya badala ya kumpumzisha! Ccm, mpumzisheni huyu atakiua chama!Kwani Magu alikuwa rais tangu kuzaliwa? Si alianzia mahala? Fikiria nje ya sanduku mkuu.
Hata mimi namuelewa LissuKadiri siku zinavyozidi wanaomuunga mkono Lissu wanaongezeka.
Ni jukumu lako wewe unayepinga kuja na ushahidi usio na shaka, sawa jombaa??Tupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi?
Hii ni moja ya hoja za kipumbavu sana, na huwa inatolewa na malofa wasiojitambua. Kwanza kwa vigezo vya katiba yetu vyote Lissu anavyo, na ndiyo maana tume ilimpitisha bila hata pingamizi moja. Pili huyu bwana hakuna asiyejua uwezo wake, misimamo yake na elimu yake. Sema tu ukweli kwamba mnamuogopa sana na inawaumiza vichwa kwamba akiwa rais, kama alivyonukuliwa mzee Warioba, mjiandae kuishi kwa kufuata sheria.Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Naona Chadema mmeanza ,kutunga uongo.Siku mbili zilizopita ,mlisema ,JPM ,kazomewa Bukoba.Tuliwaomba video.Hatukupata kitu.Naona Hui uzushi umeisha sasa ,mmeleta uongo kuwa Lissu ana wafuasi wa kushinda uchaguzi.Kwann msisubiri sanduku la kura litoe majibu?Naona sindano inaingia vizuri.Tulieni uchaguzi bado siku 38.Mnapata taabu ya nn?Najua kesho mtaanzisha uzushi mwingine.Kama ameshinda ni kwenye mitandao.Ni jukumu lako wewe unayepinga kuja na ushahidi usio na shaka, sawa jombaa??
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.Sio kucheka tu,yaani Hadi unawahurumia wanao ota hiyo ndoto
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hunijui, sikujui sasa unapata wapi nguvu ya kusema mimi ni Chadema? Mwaka 2015 watanzania waliopiga kura was around 14 milion so wengi tuu hawakupiga kura na possibly hawana vyama. However hilo haliwafanyi waache kutoa madukuduku yao kama mambo hayako sawa. Kakaga baho...Naona Chadema mmeanza ,kutunga uongo.Siku mbili zilizopita ,mlisema ,JPM ,kazomewa Bukoba.Tuliwaomba video.Hatukupata kitu.Naona Hui uzushi umeisha sasa ,mmeleta uongo kuwa Lissu ana wafuasi wa kushinda uchaguzi.Kwann msisubiri sanduku la kura litoe majibu?Naona sindano inaingia vizuri.Tulieni uchaguzi bado siku 38.Mnapata taabu ya nn?Najua kesho mtaanzisha uzushi mwingine.Kama ameshinda ni kwenye mitandao.
Mm naongea facts .Sina shida ya kukujua. Tusubiri sanduku la kura.Na nimechukua jina lako.NitakutafutaHunijui, sikujui sasa unapata wapi nguvu ya kusema mimi ni Chadema? Mwaka 2015 watanzania waliopiga kura was around 14 milion so wengi tuu hawakupiga kura na possibly hawana vyama. However hilo haliwafanyi waache kutoa madukuduku yao kama mambo hayako sawa. Kakaga baho...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
OkayAnamaanisha Twitter, Facebook na Instagram ndio keishakamata. Bado Tik tok na Badoo!
Yeye ameomba kwa mujibu WA sheria. Wananchi watamchagua ikiwa mtaiba hiyo nikazi nyengine.Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Hapo tu ndio tunashangazwa aseee, pesa ya kwako afu upangiwe cha kufanya ni ajabu sanaSafi.
Tumechoka kuwa ombaomba wa fedha za maendeleo kwa Raisi...
Limefilisi wengi sana,unakadiriwa kodi kwa kuangaliwa usoni,kama una bifu na afusa utakaemkuta lazma akulime tu.TRA ni genge lililohalaishwa kisheria. Genge la kufilisi na kugeuza watanzania maskini.