Sihitaji kutumia sana nguvu kufafanua wengi mnafatilia kampeni.
1. Kufumua TRA na genge lote la walanguzuzi.
2. Utawala wa majimbo.
Katiba mpya.
Hayo mengine ni nyongeza.
Kama CCM ingeishi humo ingependwa sana
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa
Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi
Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!
Magu, Mbele Kwa mbele
Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa, na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia. Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000..
Nenda kajifunze kuandika darasa la kwanza ndio uje kujibu.Hahahaha Kwa Hiyo Akiyasema hata Hindu lissu Anashinda ucagizii eh
Kwani kujiajiri ni kuiba na kuhujumu mali za umaa?Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa,na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia .Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.
Kwa uandishi huu unapata bk 7 ?Hahahaha Kwa Hiyo Akiyasema hata Hindu lissu Anashinda ucagizii eh
Hayo yalikuwa masheria ya bei elekezi yaliyokuwa yanapangwa na mafisadi ili wapate kupiga fedha za umaaa, kibaya zaidi hayo matenda walikuwa wanapeana wenyewee na kuweka wake za hao mafisadiii. Hivyo magufuli amewasambaratisha na maufisadi yenu, ndio maana mko mnalialia hapaaa. Njooonii kijiweni tuzisake noti za halali vijanaa. Vya kunyonga havipo tenaa.Nini sasa hoja anazoropoka kutaka watu wajiajiri? Kwani kuwapa watu tenda ndio watauza vitu kwa bei isiyoruhusiwa? Kwani serikali inashindwa kuhakiki bei inayotakiwa,na serikali huwa inapanga bei yenyewe ya kununulia acha ujinga.Serikali lazima itumie pesa ili wananchi wapate pesa.
TAJA KIFUNGU KIPI CHA KATIBA ALICHOKIVUNJA MH.RAISI WETU MPENDWAA.Mambo ya kueleza yako mengi sana, mfano uvunjaji wa katiba aufanyao jpm waziwazi, haki za watu wazivunjazo polis pindi wanapoweka watu lockup zaidi ya SAA 24.
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefungwa biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.Hayo yalikuwa masheria ya bei elekezi yaliyokuwa yanapangwa na mafisadi ili wapate kupiga fedha za umaaa, kibaya zaidi hayo matenda walikuwa wanapeana wenyewee na kuweka wake za hao mafisadiii. Hivyo magufuli amewasambaratisha na maufisadi yenu, ndio maana mko mnalialia hapaaa. Njooonii kijiweni tuzisake noti za halali vijanaa. Vya kunyonga havipo tenaa.
Polisi wanapiga raia ili wakiri makosa jambo ambalo ni kinyume cha sheria,watu wanabambikiziwa kesi na polisi kama,huna kitu kidogo. Lakini JPM hajatatua hii kero kabisa.Mambo ya kueleza yako mengi sana, mfano uvunjaji wa katiba aufanyao jpm waziwazi, haki za watu wazivunjazo polis pindi wanapoweka watu lockup zaidi ya SAA 24.
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefunga biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.
Kama JPM amedhibiti bei ambazo watu walikuwa wanajipangia anashindwa vipi kuangalia manunuzi yafanyike kwa uhalali hivi sasa?
Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.
Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:
- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.
Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.
Ndio maana nakuambia wewe unaishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda ukale chakula kwa mama lishe muulize hali ya biashara iko vipi? Kila siku chakula kinachacha hakiishi. Nenda kamuulize machinga biashara ikoje? Sio kukaa unatype tu alafu unajifanya unajua.Mama lishe gani ambae yuko hoi? Maana sikuiziii umeona mgambo wa kumwaga vyakula vya mama lishee? Mama lishe sikuizi wanapika vyakula adi barabarani, wala hakuna wakuwaulizia ata kidogo. Acha uvivuuu fanya kaziiii.
Mkuu weka siasa pembeni mbaba,kuwa serious na hatima ya maisha ya watu,nyie ndo msiomtakia Magu apate kura..HATUKO TAYARI KURUHUSU MADIRI YARUDI TENA. HATUKO TAYARI KUONA MAKANDARASI MAKANJANJA WANAPEWA TENDA KUBWA HALAFU ZINAISHIA NJIA NA HELA WAMEPIGA. HATUKO TAYARI KUONA WAKE WA MAOFISA WA SERIKALI WANAFUNGUA STESHIONARY FEKI NA KUUZIA KARAM MOJA TSH 5000 . HATUKO TAYARI KUONA TENA WAKE WAWAKUBWA NDIO WASAMBAZA CHAI YA RANGI KWENYE MAOFISI YA UMA HUKU WAKIUZA KIKOMBE CHAI YA RANGI TSH 5000 NA KITUMBUA CHA MIA MOJA WAO WANAUZA TSH 2000 . HATUKO TAYARI KUONA UTAPELI WAKULA FEDHA BILA MIPANGILIO UNARUDIA TENA. BIG UP MAGUFULI, GOD BLESS YOU.