Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Historia kuu inaandikwa Tanzania October 28. Watanzania tunamstaafisha rasmi Magufuli.

Watanzania tujisikie fahari sana kuwa sehemu ya hii historia kwa kweli. Tutasomwa na vizazi na vizazi Kama tunavyowasoma wazee wetu wa desemba 9, 1961 siku ya Uhuru
 
Fao la kujitoa nalo ni sindano kali kwa ccm. Limesababisha umaskini kwa vijana waliokuwa na ndoto za kujiajiri. In fact ni ujambazi wa kung'ang'ania hela za mtu kwa lazima wakati mwenye hela anataabika.
Nakazia, kumnyima mtu hela yake eti unasubiri mpaka azeeke, wakti hata huko uzeeni hana uhakika wa kufika nao ni ugandamizaji wa haki za wahusika. Fao la kujitoa ni vyema likarudishwa.
 
teh teh teh teh teh. Tukutane Oktoba 28. Mbivu na mbichi zitajulika Mbuyane
 
Hizi hoja au takataka. Labda ikulu ya ufipa pale,sio chamwino.
Hoja hujibiwa kwa hoja , naona umekosa hoja za kujibu. Mmebaki kutegemea uwizi. Fedha za kitambulisho vya wajasiriamali rudisheni wezi nyie
 
Back
Top Bottom