Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Upo sahihi sana, CCM wamebaki kupanga mikakati tu ya wizi.Tumefurahishwa sana uungwaji mkono mkubwa wa Lissu kila kona ya nchi. Kwa kweli Lissu ameshashinda kikubwa ni kudhibiti wizi wa kura tu.
Yeah nchi imeiva kwa ukombozi, wanakosema wanategemea vijijini nako pia shule za kata zimesaidia kufumbua macho.Wakati ni ukuta walisema hayawi sasa yanakuwa
Ni sahihi haki na utu wa mtu uheshimiwe , nampenda Lissu kwa sababu anasimamia msingi ya sheria na haki za watuNampenda lissu kwa kutetea haki. Tunapaswa kuwa na Rais mpenda haki.Mtanzania yeyote ana haki zake ziheshimiwe.
Nimeshaliweka tayari, ni sahihiUmesahau suala la ajira na kupandisha thamani ya mazao.!
Nakazia, kumnyima mtu hela yake eti unasubiri mpaka azeeke, wakti hata huko uzeeni hana uhakika wa kufika nao ni ugandamizaji wa haki za wahusika. Fao la kujitoa ni vyema likarudishwa.Fao la kujitoa nalo ni sindano kali kwa ccm. Limesababisha umaskini kwa vijana waliokuwa na ndoto za kujiajiri. In fact ni ujambazi wa kung'ang'ania hela za mtu kwa lazima wakati mwenye hela anataabika.
Subiri kimbunga cha kura kwa Lissu hapo ndipo utaamini Watanzania sio wajumbe wa Ccm πππLissu anachangamsha genge tu ! Uzuri ni kwamba baada ya 28 oct mtapoteana sana humu!.
Nautajua kama umma ukishaamua mtutu wa bunduki hutiwa mfukoni munavotaka Mara hii na sisi twatakaChadema wa jf kwenye kujifariji mpovizuri.
tukutane October 28 ndo mtajua watanzania hawana utani kwenye sanduku la kura.
Jibuni hoja musije na ngonjera naona sikuhizi hamumuiti tena nabii.Hizi hoja au takataka. Labda ikulu ya ufipa pale,sio chamwino.
Hoja hujibiwa kwa hoja , naona umekosa hoja za kujibu. Mmebaki kutegemea uwizi. Fedha za kitambulisho vya wajasiriamali rudisheni wezi nyieHizi hoja au takataka. Labda ikulu ya ufipa pale,sio chamwino.