Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
intelijensia inakamata masheikh tu? mbona wale ambao walisaini mikataba ya kifisadi ya madini wapo mtaani tu mpaka sasa wanakula bata?

Kama Intelijensia ina ushahidi dhidi ya tuhuma kwa hao masheikh, kwa kwa nini katika miaka yote sita masheikh hao wakiwa ndani haijaufikisha ushahidi huo mahakamani wahukumiwe?

Na kama intelijensia iko vizuri kiasi hicho kwa nini haijawakamata waliompiga risasi Lissu, au kumpaya aliyewapoteza Azory Gwanda, Ben Saanane, Kanguye na nani aliyewaua wale watu waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba?
Safi kabisaa, kwnz uelewe kwmb mafisadi hawahatarishi usalama wa taifa letu, ila hao wengine wote uliowataja walikuwa kiruc kwa Nchi yetu ndo maana wale ambao wamepata bahati ya kuwekwa mahabusu wapo huko. Ila hao wengine hutokuja uwaone kwa sababu hawajapotea kwa bahati mbaya. Hata hao wa kwny viroba tuliamua kuwahifadhi kwa njia hiyo ili Tz iendelee kubaki salama,, haya mambo yanafanyika nchi nyingi sana siyo tu hapa kwetu kwa watu ambao ni hatar kwa usalama wa taifa.Ila kwa sababu huyajui haya mambo, utaishia kupiga kelele tu kaka lkn serikali itaendelea kuchkua hatua stahk ili wewe na familia yko muendelee kuwa salama.
 
Kwenye mikutano yako

A) Anza kuwakumbusha wananchi ulaghai wa CCM kwa jinsi ilivyotoa ahadi za uwongo kwa wananchi kwenye ILANI YAO ILIYOPITA NA MIKUTANO YAO YA KAMPENI na hivyo basi wananchi wawakatae kwa sababu hata wanayoahidi sasa hawatatekeleza

1) Wakumbushe wananchi jnsi CCM ilivyoahidi katiba mpya kwenye ilani ya mwaka 2015 lakini Rais Magufuli akakataa baada ya kuapishwa akadai eti hakuinadi kwenye kampeni wakati imo kwenye ilani yao-Waulize wananchi kama wanaweza kuendelea kuwaamini watoa ahadi za uwongo

2)Wakumbushe wananchi ahadi ya CCM iliyoko kwenye ilani yao ya 2015 kuwa watatoa milioni 50 kila kijiji—Mpaka sasa hawajatoa hata thumni, Waulize wananchi wana sababu gani za kuendelea kuamini watu waongo

3)Wakumbushe wananchi namna Magufuli alivyoahidi kugawa laptop kwa kila mwalimu ili imsaidie kuboresha ufudishaji—Waulize wananchi ziko wapi hizo laptop na pia waulize wananchi kwa vipi waendelee kuamini watu wasioishi neno lao?

4) Wakumbushe wananchi namna ilani ya uchaguzi ua CCM ya mwaka 2015 inavyozugumzia kuendelezwa kwa sera ya kilimo kwanza lakini Magufuli alipoingia tu miongoni mwa vitu alivyoanza navyo ni kuifutilia mbali sera hiyo licha ya kuwa ni mpango upo katika ilani yao ya mwaka huo

5. Wakumbushe wananchi jinsi Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ilivyosema kuwa watoto watakaopata ujauzito serikali haitowafukuza shule—Wakumbushe jinsi Magufuli alivyoingia madarakani alivyokana ilani yake mwenyewe kwa kusema kuwa hao mabinti wakipata mimba atawafukuza shule za serikali kwa sababu hasomeshi wazazi.

B) Anza kuwaambia wananchi Ulaghai wa CCM ya sasa na hivyo Wasiiamini tena kuipa kura

1. Bashiru aliuambia umma kuwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawatotumia wasanii—Uongo mtupu, leo CCM wamegeuka waandaaji wakubwa wa disco za hadhara, juzi dodoma kulikuwa na wasanii zaidi ya 100. Kwa sababu CCM hawana sera za maana za kushawishi wananchi, wanasafiria nyota za wasanii

2)Wakumbushe wananchi kauli ya Magufuli mwanzoni mwa mwaka huu kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki—Lakini mpaka hivi sasa tangu njama za kuengua wapinzani na kuvuruga uchaguzi ili CCM ipate ushindi wa mezani inaonyesha namna kauli kutoka kwa viongozi wa CCM jinsi zisivyo za kweli.

3)Wakumbushe wananchi jinsi CCM ilivyojifanya kupiga mkwara kuwa haitopitisha watoa rushwa kwenye kugombea, lakini pamoja na hayo wameishia kuteua wagombea wengine waliokamatwa kwa rushwa waziwazi na badala ya TAKUKURU iliyo chini ya serikali kufanya kazi yake, nayo imeacha kutimiza wajibu wake kwa kuwafumbia macho—Waulize wananchi wana sababu gani ya kumuamini Magufuli wakati ameshindwa kusimamia kauli ya chama chake ya awali kuhusu watoa rushwa?. Pia waulize wananchi, iweje wachague chama kuunda serikali, chama ambacho wagombea wake wamepatikana kwa rushwa, Je chama hicho kitaweza kupambana na rushwa na ufisadi wakati hawahawa wanaotegemea kupigana vita hiyo wamepatikana kwa rushwa?

C ) Kila kituo cha kampeni utakachokwenda anza kupre-empt na kuneutralize Talk points za CCM
1. Tafuta rebuttal nzuri sana ya Ishu ya SGR hii usipinge ujenzi wake, pinga namna inavyojengwa, tafuta data za mikopo ya ujenzi wa reli hii na itaavyowatia umasikini watoto wetu kwa sababu ya deni la Taifa kupaa sana. Waonyeshe wananchi kuwa unaunga mkono ujenzi wa SGR ila kwa mpango mbadala (chukua ule mpango wa ACT wazalendo wa kujenga SGR kupitia PPP), na pia mataaluma ya reli tunaagiza nje, tunapeleka mabilioni ya dola nje badala ya kuboresha kwanza Liganga na mchuchuma ili chuma chetu cha ndani ndo kijenge mataaluma hayo, ili pesa hiyo ndefu na ajira zibaki ndani badala ya kuwapelekea wajapan dola hizo na ajira kwao

2. Kuhusu Stieglers, Usiupinge mradi bali pia kosoa namna ya ujenzi wa mradi huo, tafuta data unajengwaje, wananchi wananufaikaje, je kuna technology transfer au tunaishia kuwa wabeba zege na mafundi mchundo tu?. Waambie wananchi kuwa ukiacha Stieglers wewe utajenga Vinu vingine vya umeme kwa kutumia gesi ya Mtwara, umeme utakaokuwa mwingi kuliko utakaozalishwa na Bwawa la Stieglers. Stieglers itazalisha around Megawatts 2000 na ushehe, wewe plan yako ionyeshe utaleta umeme wa gesi mkubwa mara tatu ya huo

3. Kuhusu ndege, hiyo endelea kuponda, piga spana kwelikweli, ni mradi feki

4. Kuhusu kujenga uwanja wa ndege Chato, yaani hii usiiache kila mahali, piga spana, piga nyundo, siliba kwelikweli

5. Kuhusu Elimu bure, waambie wananchi juu ya uwepo wa waraka wa siri wa wakuu wa shule kuendelea kuwachangisha wazazi baadhi ya michango, waambie kuhusu michango ya baadhi ya mikoa wazazi kuambiwa kila mtoto anayeanza kidato cha kwanza aende na dawati lake mwenyewe!. Waambie hii Elimu ni elimu gani wakati mwanafunzi anaambiwa aende na dawati lake. Waambie wananchi kuwa wewe utakuja na mpango mzuri zaidi wa elimu bure tena siyo bure tu bali iliyobora na ikikupendeza mheshimiwa rais mtarajiwa ifanye iwe bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita!. Mpango wako wa Elimu uwe ELIMU BURE NA BORA KWA WOTE! (haya ni maoni yangu binafsi yakikupendeza yachukue)

D). Kwenye kutafuta kura kutoka kwa makundi maalum ya kijamii

1. Kwa waislamu, tumia kauli indirectly kuwa "Sitoteua watu kwa wingi kuliko wangine kwa sababu ni wa imani yangu bali nitateua kwa vigezo na vigezo ninavyovitska vipo kwa watu wa imani zote—Hapa utakuwa umemchapa Jiwe konzi moja nzito mno na Waislamu watakuelewa sana maana teuzi za Jiwe zinanuka udini mno na waislamu linawachukiza sana hilo

2) Endelea kuwasemea Masheikh waislamu, Jana umefanya kazi nzuri sana Arusha kwa kuwasemea Masheikh 70 wa arusha walioko ndani.
Pia endelea kuwasemea Masheikh wa Zanzibar (Usitumie neno Masheikh wa uamsho, hilo neno ni divisive, Tumia tu neno Viongozi wa dini ya kiislamu walioko jela), Wakumbushe waislamu kuwa Magufuli ameshasamehe wafungwa wa kila aina wakiwemo waliofungwa kwa ubakaji lakini anaona tabu kuwaachia Masheikh—Waambie wananchi kuwa ukichaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania utawaweka huru hao masheikh.
(Ukitaka kuwakong'a nyoyo waislamu zaidi, waambie utawalipa fidia hao masheikh kwa kuonewa, kupotezewa muda, kuathiriwa kisaikolojia na kuzitia umasikini familia zao kutokana na vichwa vya familia kuwekwa ndani miaka 6 bila kosa lolote—Kaka ukipiga hii, utapata kura za waislamu haijapata kutokea)

3) Kundi la wanawake, wakumbushe wananchi jinsi Magufuli alivyoteua wanawake wachache mno katika serikali yake kulingsnisha na Kikwete, hii itasaidia kuneutralize soft power ya uwepo wa makamu wa rais mwanamke katika tiketi yake.
Umefanya kazi nzuri kumsiliba Maguful kwa kauli zake tata juu ya wanawake, kauli ile ya jogoo usiiache, endelea kupiga spana, kauli ile ya kupiga mashangazi endelea kupiga nyundo kwelikweli.

Endelea kuwakumbusha wanawake kuwa mwaka 2015 Magufuli aliwaahidi kuwatua ndoo kichwani, yaani akimaanisha kuwaletea maji. Lakini badala ya kuwaletea maji kwa kasi ya kutosha yeye anachukua pesa ananunulia ndege na kujenga uwanja wa ndege Chato

E. Endelea kuwakumbusha wananchi juu ya Ufisadi

Ishu ya Trilion 1.5 zisizo na maelezo yenye mashiko bado ipo kwenye kumbukumbu za wananchi, japo waliunda kamati ya kuwasafisha, lakini maelezo yao hayana mashiko, Endelea kuwakumbusha wananchi juu ya utata wa Trilion 1. 5
Usisahau kuwakumbusha wananchi Jinsi CAG Assad alivyotimuliwa kwa kusimamia taaluma yake ya uhasibu na pia jinsi manunuzi ya ndege yasivyokaguliwa kutokana na Jiwe kuweka ishu za ndege chini ya ofisi ya rais ambayo haikaguliwi na CAG

F. Usisahau ishu ya Maji na Kilimo
Maji bado ni tatizo kubwa, hili umepwaya kidogo, hujaligusia kabisa katika hotuba zako
Pia Kilimo hujakizungumza in details, tafuta mpango mkakati wa kuuza sera zako za kilimo kwa wananchi, waambie wwnanchi serikali yako itakavyowatafutia soko la mazao yao kupitia balozi zilizo nje. Badala ya mabalozi kukaa huko nje na kuuza sura, waanze sasa diplomasia ya kiuchumi ikiwemo kuwatafutia wakulima wetu masoko ya mazao yao ya kilimo.

G. Usiache hata kidogo kuwakumbusha wananchi magumu ya kiuchumi waliyopitia, uwe unawauliza kwenye kia mkutano wako, Je wako tayari kuendelea na mifuko iliyokauka kwa miaka mingine mitano?. Waulize wananchi je bado wanataka kuendelea na vyuma kukaza?. Waulize wananchi kuwa wako tayari kuendelea kukamuliwa na trafiki buku tano tano ili zikang'arishe viatu vya Trafiki? —Waambie wananchi kuwa kama hawataki hayo basi wampige chini Magufuli wakuchague wewe ukarekebishe mambo.

H. Lissu baba, wakumbushe wananchi juu ya adha za faini ya tochi za Trafiki —Waambie wananchi kuwa hutogeuza tochi chanzo cha mapato, bali utaongeza hata speed limit kwenye barabara kuwa 80 hadi 100 kulingana na mahali husika, badala ya 50 hata sehemu zilizowazi kabisa.

Aisee kaka Lissu, Ukiendelea kumwaga sera zako ulizoanza kumwaga kisha ukaongezea na hizi CCM watatafutana!

Piga Spana kaka
Mkuu hakikisha hili linawafikia wahusika. bonge la nondo. Big up
Inaonekana una roho mbaya kweli 😂
 
Kwa sera hizi za Lissu na zile sera za kununa ndege tano za Magufuli basi nashauri Magufuli atafute kazi nyingine ya kufanya.

IMG_20200901_120735.jpg
 
kupewa hiyo nafasi ya kuongoza hapo ndio mtihani wenyewe sasa, mfumo wetu huu ni hatari kwa vyama vingine kuongoza nchi ila fresh kila kitu kinawezekana
 
rocery
F. Usisahau ishu ya Maji na Kilimo
Maji bado ni tatizo kubwa, hili umepwaya kidogo, hujaligusia kabisa katika hotuba zako
Pia Kilimo hujakizungumza in details, tafuta mpango mkakati wa kuuza sera zako za kilimo kwa wananchi, waambie wwnanchi serikali yako itakavyowatafutia soko la mazao yao kupitia balozi zilizo nje. Badala ya mabalozi kukaa huko nje na kuuza sura, waanze sasa diplomasia ya kiuchumi ikiwemo kuwatafutia wakulima wetu masoko ya mazao yao ya kilimo.

G. Usiache hata kidogo kuwakumbusha wananchi magumu ya kiuchumi waliyopitia, uwe unawauliza kwenye kia mkutano wako, Je wako tayari kuendelea na mifuko iliyokauka kwa miaka mingine mitano?. Waulize wananchi je bado wanataka kuendelea na vyuma kukaza?. Waulize wananchi kuwa wako tayari kuendelea kukamuliwa na trafiki buku tano tano ili zikang'arishe viatu vya Trafiki? —Waambie wananchi kuwa kama hawataki hayo basi wampige chini Magufuli wakuchague wewe ukarekebishe mambo.

H. Lissu baba, wakumbushe wananchi juu ya adha za faini ya tochi za Trafiki —Waambie wananchi kuwa hutogeuza tochi chanzo cha mapato, bali utaongeza hata speed limit kwenye barabara kuwa 80 hadi 100 kulingana na mahali husika, badala ya 50 hata sehemu zilizowazi kabisa.

Aisee kaka Lissu, Ukiendelea kumwaga sera zako ulizoanza kumwaga kisha ukaongezea na hizi CCM watatafutana!

Piga Spana kaka
Missile of the Nation umenena. Naamini wamekusikia. Chukua Balimi 4 hapo grocery kwa Mama Cheupe ntakuja nilipe nikitoka kazini.
 
Tunataka katiba mpya ya wananchi.

Tumechoka kutungiwa katiba na Masisi emu peke yao. Mungu awalani CCM kwa kujimilikisha nchi yetu baada ya kumuondoa mkoloni ,wamekuwa wao ndio Wabaya zaidi .
 
Ili hayo yawezekane uchumi anakuzaje,atawekea mfukoni watu pesa? Hata Marekani changamoto ya ajira ipo tena sana tu huko kwa rafiki zake Kenya ndio usiseme.

Mahusiano na majirani zetu vipi,anajua vita ya kiuchumi huyu?Au ndio atashinda angani akiteketeza kodi zetu kuzurura kila nchi kuomba mahusiano mema?

- Uhuru wa habari wakati TBC mmewafukuza juzi,inamaanisha mkishika dola kila chombo kitakachoongea negative kuhusu ninyi kitakuwa banned.

- Uhuru vipi kwani ninyi hamko huru?

Mbona toka mje mnamtukana Magufuli baba wa watu amejikalia kimya,mna uhuru sana,huo ujinga akajaribu kenya wamuoneshe kunavyoenda,unamtukana Rais wa nchi aje?

Mapungufu kwenye sera zenu mnadanganya watu ni mengi,ila nimechoka kuandika.
 
Lisu hata kwa mtutu hawezi kuwa rais wa tz full stop.
 
Hapa jamaa anapiga mulemule. Wengi sasa wameshaanza kumwelewa LISSU
Kwa tathmini gani mliyofanya. Buddy its just a fifth day since resumption ya campein na sehemu kama dar mmeona mapokezi ya jamaa yalivyokuwa poor na hata Arusha sio pakujiinua the way mnafanya u have a task to do kumuuza kwa wapiga kura wenu thats is to say mfanye kampeni nzito na ya nguvu.
 
Kwenye mikutano yako

A) Anza kuwakumbusha wananchi ulaghai wa CCM kwa jinsi ilivyotoa ahadi za uwongo kwa wananchi kwenye ILANI YAO ILIYOPITA NA MIKUTANO YAO YA KAMPENI na hivyo basi wananchi wawakatae kwa sababu hata wanayoahidi sasa hawatatekeleza

1) Wakumbushe wananchi jnsi CCM ilivyoahidi katiba mpya kwenye ilani ya mwaka 2015 lakini Rais Magufuli akakataa baada ya kuapishwa akadai eti hakuinadi kwenye kampeni wakati imo kwenye ilani yao-Waulize wananchi kama wanaweza kuendelea kuwaamini watoa ahadi za uwongo

2)Wakumbushe wananchi ahadi ya CCM iliyoko kwenye ilani yao ya 2015 kuwa watatoa milioni 50 kila kijiji—Mpaka sasa hawajatoa hata thumni, Waulize wananchi wana sababu gani za kuendelea kuamini watu waongo

3)Wakumbushe wananchi namna Magufuli alivyoahidi kugawa laptop kwa kila mwalimu ili imsaidie kuboresha ufudishaji—Waulize wananchi ziko wapi hizo laptop na pia waulize wananchi kwa vipi waendelee kuamini watu wasioishi neno lao?

4) Wakumbushe wananchi namna ilani ya uchaguzi ua CCM ya mwaka 2015 inavyozugumzia kuendelezwa kwa sera ya kilimo kwanza lakini Magufuli alipoingia tu miongoni mwa vitu alivyoanza navyo ni kuifutilia mbali sera hiyo licha ya kuwa ni mpango upo katika ilani yao ya mwaka huo

5. Wakumbushe wananchi jinsi Ilani ya CCM ya mwaka 2015 ilivyosema kuwa watoto watakaopata ujauzito serikali haitowafukuza shule—Wakumbushe jinsi Magufuli alivyoingia madarakani alivyokana ilani yake mwenyewe kwa kusema kuwa hao mabinti wakipata mimba atawafukuza shule za serikali kwa sababu hasomeshi wazazi.

B) Anza kuwaambia wananchi Ulaghai wa CCM ya sasa na hivyo Wasiiamini tena kuipa kura

1. Bashiru aliuambia umma kuwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu hawatotumia wasanii—Uongo mtupu, leo CCM wamegeuka waandaaji wakubwa wa disco za hadhara, juzi dodoma kulikuwa na wasanii zaidi ya 100. Kwa sababu CCM hawana sera za maana za kushawishi wananchi, wanasafiria nyota za wasanii

2)Wakumbushe wananchi kauli ya Magufuli mwanzoni mwa mwaka huu kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki—Lakini mpaka hivi sasa tangu njama za kuengua wapinzani na kuvuruga uchaguzi ili CCM ipate ushindi wa mezani inaonyesha namna kauli kutoka kwa viongozi wa CCM jinsi zisivyo za kweli.

3)Wakumbushe wananchi jinsi CCM ilivyojifanya kupiga mkwara kuwa haitopitisha watoa rushwa kwenye kugombea, lakini pamoja na hayo wameishia kuteua wagombea wengine waliokamatwa kwa rushwa waziwazi na badala ya TAKUKURU iliyo chini ya serikali kufanya kazi yake, nayo imeacha kutimiza wajibu wake kwa kuwafumbia macho—Waulize wananchi wana sababu gani ya kumuamini Magufuli wakati ameshindwa kusimamia kauli ya chama chake ya awali kuhusu watoa rushwa?. Pia waulize wananchi, iweje wachague chama kuunda serikali, chama ambacho wagombea wake wamepatikana kwa rushwa, Je chama hicho kitaweza kupambana na rushwa na ufisadi wakati hawahawa wanaotegemea kupigana vita hiyo wamepatikana kwa rushwa?

C ) Kila kituo cha kampeni utakachokwenda anza kupre-empt na kuneutralize Talk points za CCM
1. Tafuta rebuttal nzuri sana ya Ishu ya SGR hii usipinge ujenzi wake, pinga namna inavyojengwa, tafuta data za mikopo ya ujenzi wa reli hii na itaavyowatia umasikini watoto wetu kwa sababu ya deni la Taifa kupaa sana. Waonyeshe wananchi kuwa unaunga mkono ujenzi wa SGR ila kwa mpango mbadala (chukua ule mpango wa ACT wazalendo wa kujenga SGR kupitia PPP), na pia mataaluma ya reli tunaagiza nje, tunapeleka mabilioni ya dola nje badala ya kuboresha kwanza Liganga na mchuchuma ili chuma chetu cha ndani ndo kijenge mataaluma hayo, ili pesa hiyo ndefu na ajira zibaki ndani badala ya kuwapelekea wajapan dola hizo na ajira kwao

2. Kuhusu Stieglers, Usiupinge mradi bali pia kosoa namna ya ujenzi wa mradi huo, tafuta data unajengwaje, wananchi wananufaikaje, je kuna technology transfer au tunaishia kuwa wabeba zege na mafundi mchundo tu?. Waambie wananchi kuwa ukiacha Stieglers wewe utajenga Vinu vingine vya umeme kwa kutumia gesi ya Mtwara, umeme utakaokuwa mwingi kuliko utakaozalishwa na Bwawa la Stieglers. Stieglers itazalisha around Megawatts 2000 na ushehe, wewe plan yako ionyeshe utaleta umeme wa gesi mkubwa mara tatu ya huo

3. Kuhusu ndege, hiyo endelea kuponda, piga spana kwelikweli, ni mradi feki

4. Kuhusu kujenga uwanja wa ndege Chato, yaani hii usiiache kila mahali, piga spana, piga nyundo, siliba kwelikweli

5. Kuhusu Elimu bure, waambie wananchi juu ya uwepo wa waraka wa siri wa wakuu wa shule kuendelea kuwachangisha wazazi baadhi ya michango, waambie kuhusu michango ya baadhi ya mikoa wazazi kuambiwa kila mtoto anayeanza kidato cha kwanza aende na dawati lake mwenyewe!. Waambie hii Elimu ni elimu gani wakati mwanafunzi anaambiwa aende na dawati lake. Waambie wananchi kuwa wewe utakuja na mpango mzuri zaidi wa elimu bure tena siyo bure tu bali iliyobora na ikikupendeza mheshimiwa rais mtarajiwa ifanye iwe bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita!. Mpango wako wa Elimu uwe ELIMU BURE NA BORA KWA WOTE! (haya ni maoni yangu binafsi yakikupendeza yachukue)

D). Kwenye kutafuta kura kutoka kwa makundi maalum ya kijamii

1. Kwa waislamu, tumia kauli indirectly kuwa "Sitoteua watu kwa wingi kuliko wangine kwa sababu ni wa imani yangu bali nitateua kwa vigezo na vigezo ninavyovitska vipo kwa watu wa imani zote—Hapa utakuwa umemchapa Jiwe konzi moja nzito mno na Waislamu watakuelewa sana maana teuzi za Jiwe zinanuka udini mno na waislamu linawachukiza sana hilo

2) Endelea kuwasemea Masheikh waislamu, Jana umefanya kazi nzuri sana Arusha kwa kuwasemea Masheikh 70 wa arusha walioko ndani.
Pia endelea kuwasemea Masheikh wa Zanzibar (Usitumie neno Masheikh wa uamsho, hilo neno ni divisive, Tumia tu neno Viongozi wa dini ya kiislamu walioko jela), Wakumbushe waislamu kuwa Magufuli ameshasamehe wafungwa wa kila aina wakiwemo waliofungwa kwa ubakaji lakini anaona tabu kuwaachia Masheikh—Waambie wananchi kuwa ukichaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania utawaweka huru hao masheikh.
(Ukitaka kuwakong'a nyoyo waislamu zaidi, waambie utawalipa fidia hao masheikh kwa kuonewa, kupotezewa muda, kuathiriwa kisaikolojia na kuzitia umasikini familia zao kutokana na vichwa vya familia kuwekwa ndani miaka 6 bila kosa lolote—Kaka ukipiga hii, utapata kura za waislamu haijapata kutokea)

3) Kundi la wanawake, wakumbushe wananchi jinsi Magufuli alivyoteua wanawake wachache mno katika serikali yake kulingsnisha na Kikwete, hii itasaidia kuneutralize soft power ya uwepo wa makamu wa rais mwanamke katika tiketi yake.
Umefanya kazi nzuri kumsiliba Maguful kwa kauli zake tata juu ya wanawake, kauli ile ya jogoo usiiache, endelea kupiga spana, kauli ile ya kupiga mashangazi endelea kupiga nyundo kwelikweli.

Endelea kuwakumbusha wanawake kuwa mwaka 2015 Magufuli aliwaahidi kuwatua ndoo kichwani, yaani akimaanisha kuwaletea maji. Lakini badala ya kuwaletea maji kwa kasi ya kutosha yeye anachukua pesa ananunulia ndege na kujenga uwanja wa ndege Chato

E. Endelea kuwakumbusha wananchi juu ya Ufisadi

Ishu ya Trilion 1.5 zisizo na maelezo yenye mashiko bado ipo kwenye kumbukumbu za wananchi, japo waliunda kamati ya kuwasafisha, lakini maelezo yao hayana mashiko, Endelea kuwakumbusha wananchi juu ya utata wa Trilion 1. 5
Usisahau kuwakumbusha wananchi Jinsi CAG Assad alivyotimuliwa kwa kusimamia taaluma yake ya uhasibu na pia jinsi manunuzi ya ndege yasivyokaguliwa kutokana na Jiwe kuweka ishu za ndege chini ya ofisi ya rais ambayo haikaguliwi na CAG

F. Usisahau ishu ya Maji na Kilimo
Maji bado ni tatizo kubwa, hili umepwaya kidogo, hujaligusia kabisa katika hotuba zako
Pia Kilimo hujakizungumza in details, tafuta mpango mkakati wa kuuza sera zako za kilimo kwa wananchi, waambie wwnanchi serikali yako itakavyowatafutia soko la mazao yao kupitia balozi zilizo nje. Badala ya mabalozi kukaa huko nje na kuuza sura, waanze sasa diplomasia ya kiuchumi ikiwemo kuwatafutia wakulima wetu masoko ya mazao yao ya kilimo.

G. Usiache hata kidogo kuwakumbusha wananchi magumu ya kiuchumi waliyopitia, uwe unawauliza kwenye kia mkutano wako, Je wako tayari kuendelea na mifuko iliyokauka kwa miaka mingine mitano?. Waulize wananchi je bado wanataka kuendelea na vyuma kukaza?. Waulize wananchi kuwa wako tayari kuendelea kukamuliwa na trafiki buku tano tano ili zikang'arishe viatu vya Trafiki? —Waambie wananchi kuwa kama hawataki hayo basi wampige chini Magufuli wakuchague wewe ukarekebishe mambo.

H. Lissu baba, wakumbushe wananchi juu ya adha za faini ya tochi za Trafiki —Waambie wananchi kuwa hutogeuza tochi chanzo cha mapato, bali utaongeza hata speed limit kwenye barabara kuwa 80 hadi 100 kulingana na mahali husika, badala ya 50 hata sehemu zilizowazi kabisa.

Aisee kaka Lissu, Ukiendelea kumwaga sera zako ulizoanza kumwaga kisha ukaongezea na hizi CCM watatafutana!

Piga Spana kaka
Hii imekaa poa. Sema ni ndefu lakknk ngoja nille Birian la Maryam hapa Tabata ndio nije kuisoma vizuri.
 
Kwa tathmini gani mliyofanya. Buddy its just a fifth day since resumption ya campein na sehemu kama dar mmeona mapokezi ya jamaa yalivyokuwa poor na hata Arusha sio pakujiinua the way mnafanya u have a task to do kumuuza kwa wapiga kura wenu thats is to say mfanye kampeni nzito na ya nguvu...
Nyota njema huonelana asubuhi. Bab yenu kafanya mkutano mmoja tu yuko hoi. Leo lala siku ya tano na siku zinakatika kama barafu kwenye moto. Vijana makamanda wanachanja mbuga tu.
 
Back
Top Bottom