Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
kabla sijaona video nilitaka kushangaa.mim huko napajua na juz juz tumepanda tren tabora ndio kwetu treni ipo.uongo gani huu jamani.Kwa kweli tusikubal kudanganywa hiv.Tren ya mwendo kasi inakuja hadi huku kwetu itakua ni kuteleza.Treni ipo tena shanting kwa wanaojia njia hizo saranda tunakula na mayai
 
Kuna reli hapo ama mateso kwa wananchi..mabehewa ya kuunga unga...reli mbovu ukiondoka huna uhakika wa kufika!!

Reli imekuwa kaputi miaka nenda rudi...CCM ndiyo imeua miundombinu mingi sana nchini kwa ufisadi...unakarabati kwa kuunga unga kisa uchaguzi...

CCM ni janga!!... "Sasaa .......!!"
 
kabla sijaona video nilitaka kushangaa.mim huko napajua na juz juz tumepanda tren tabora ndio kwetu treni ipo.uongo gani huu jamani.Kwa kweli tusikubal kudanganywa hiv.Tren ya mwendo kasi inakuja hadi huku kwetu itakua ni kuteleza.Treni ipo tena shanting kwa wanaojia njia hizo saranda tunakula na mayai
Huna lolote,wewe ni mamluki wa CCM!
 
Kazusha watu kutokuajiriwa,kazusha watu kutekwa ,kazusha watu kupigwa risasi mchana kweupe ,kazusha kauli za dhihaka kwa waliopatwa na majanga ya asili ,kazusha viongozi wa serikali kujimilikisha ardhi ya wananchi, pia kazusha wizi uliofanyika kuwauzia vitambulisho wamachinga bila risiti tuna jambo letu 28 October
Tatizo la Lisu ni muongo sana hata huwezi jua muda gani anaongea ukweli.
Ameshazusha Mambo mengi ambayo kwa watu wasio wafia vyama wanamuona Kama tapeli tuu
 
Huyu mkuu wa mkoa dogo juma homera anatetea kitumbua chake, ajibu na mengine ikiwemo na kutoongeza mishahara watumishi wa umma na kutekana hovyo.
 
Kuna mambo wanasiasa huwa wanasema utafikiri huwa wanaambia mbuzi na sio watu mwanasiasa unawaambia watu kuwa utafuta kodi halafu mwisho wa kuongea hayo unaanzisha kodi nyingine mpya kabisa ya kuchangia kampeni.

Tundu Lissu anaponda serikali ya CCM kwa ukusanyaji kodi mwingi ili tuweze kujenga nchi sababu anaona ni kama unyonyaji, sasa ningependa kumuuliza kama anaamini bila michango ya wanachama wake hawezi kufanya kampeni kwanini anaamin bila kodi za Wananchi anaweza kuijenga nchi?
 
Kodi yetu inakusanywa kweli lakini inafanya nini? Unajisifu unakusanya Tirilioni halafu unakaa na Mpwa wako mnajiamulia cha kufanya
 
Back
Top Bottom