Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Sisi ni mabingwa wa keyboard, mamalmiko yetu mengi ni mtandaoni tu tena kwa kujificha kama hivi.
 
Umeme unazimika Marekani itakuwa Tanzania rejea hoja ya aliyekabidhiwa kijiti na hayati. Nchi iko na ujinga mwingi sana.
 
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.

Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.

Fu-gwyhWIAAvHIl.jpg
 
Kwa nchi za wenzetu ambao wapo serious ungeckia kuanzia waziri wa michezo,rais wa tff wote wanajiuzulu kutokana na uzembe uliojitokeza,Haiwezekani tatzo lile lile kujirudia na wahusika wapo tu wanakenua
 
Mameneja wa TANESCO mikoa na watendaji Wana muhujumu waziri, safisha hawa virusi wanao hujumu jitihada za Serikali, wapo kila Mkoa sio dar tu
Haya ndiyo maisha yetu ya kila siku mitaani umeme ukiwepo ni mdogo!

Wenye mashine za kusaga na kukoboa habari wanazo!

Waziri si alishatuambia wanafanya service ambayo haikufanywa kwa miaka sita!

Hii wizara haihitaji propaganda,ni oversize kwa kipara.
 
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.

Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Nini kilifanyika baada ya kucheza na akili za watz kupitia media.
 
Tukio la mpira sio la dharura ni kitu kimepangwa. Hivi kweli mnashindwa kuwasha umeme wa uhakika kwa dakika 90?. Hivi Rais unaona hii aibu Leo sio mara ya kwanza mbona President hayuko serious kwenye mambo ya msingi?

Rais unafanya kazi na watu wasiowajibuka Wanafanya Nini hapo. Hivi Kuna mtu ambaye ni Bora kuliko Tanzania hadi abebwe hivi? Jitafakarini Hata Rais ujitafakari kwenye hili. Ukiniambia unaipenda Tanzania sitakuelewa Kama una Genge la watu unawabeba wasio na Tija kwa Taifa

Asante.
 
Mfumo wa Umeme uwanjani leo hii ulikuwepo sehemu Ngapi Tanzania ? Sehemu Kibao leo mchana kutwa kulikuwa hakuna Umeme; Kwahio pamoja na hao wazembe Uwanjani kuna Kinara wa Uzembe hapo Juu katika Wizara ya Nishati
Una uelewa hata mdogo kuhusu umeme? Maana naweza kuwa nabishana na mtu ambaye kwenye tasnia hii ni lipopoma kqbisa
 
Lawama nyingine ni kwa sababu ya chuki tu yaani taa za uwanja umlaumu Rais!
Hata huyo mungu wenu alimaliza changamoto zote!
 
Hapana. Serikali ya rais Samia imejaa uzembe!! Umeme umekatika juzi juzi lkn hakuna aliyefanyia kazi tatizo mpk leo linajirudia
Watu wa Bongo wakishakujua wewe huna tabia za kufukuzana fukuzana basi tegemea uzembe usiokuwa na kifani kila mahali !!
 
Back
Top Bottom