DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nchi inamambo mengiSisi? Wewe na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inamambo mengiSisi? Wewe na nani?
Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.
Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Hata Mambo ya msingi unaleta ushabikiYanga wana mambo ya kitoto sana, wamekwenda kuzima taa halafu wasingizie kuwa ni Simba ndiyo wamefanya hivyo.
Haya ndiyo maisha yetu ya kila siku mitaani umeme ukiwepo ni mdogo!Mameneja wa TANESCO mikoa na watendaji Wana muhujumu waziri, safisha hawa virusi wanao hujumu jitihada za Serikali, wapo kila Mkoa sio dar tu
Hapa bongo ni ngumuKwa nchi za wenzetu ambao wapo serious ungeckia kuanzia waziri wa michezo,rais wa tff wote wanajiuzulu kutokana na uzembe uliojitokeza,Haiwezekani tatzo lile lile kujirudia na wahusika wapo tu wanakenua
Nini kilifanyika baada ya kucheza na akili za watz kupitia media.Matendo ya hovyo yanayoendelea nchini ni dalili kuwa hii nchi inaongozwa na watu wasiostahili. Haiwezekani taa za uwanja wa taifa zinapata hitilafu kwa mara ya pili ndani ya miezi 3. Uongozi sio kuahidi mamilioni baada ya ushindi huku miundombinu haisimamiwi ipasavyo.
Hebu tumia mamlaka yako ya Urais kuwawajibisha wasiotaka kuwajibika.
Hata mwigulu nae hapo kasahaulika nisaidie kumu add kwenye hiyo listHizi chuki za ajabu sana, Sasa Nape na Makamba wanahusikaje na Uwanja?
Kwa hiyo mpira sio mambo? Mnataka vijana wote wawe waimba bongo fleva , bongo movie sio? Hovyo sana.Nchi inamambo mengi
Una uelewa hata mdogo kuhusu umeme? Maana naweza kuwa nabishana na mtu ambaye kwenye tasnia hii ni lipopoma kqbisaMfumo wa Umeme uwanjani leo hii ulikuwepo sehemu Ngapi Tanzania ? Sehemu Kibao leo mchana kutwa kulikuwa hakuna Umeme; Kwahio pamoja na hao wazembe Uwanjani kuna Kinara wa Uzembe hapo Juu katika Wizara ya Nishati
Watu wa Bongo wakishakujua wewe huna tabia za kufukuzana fukuzana basi tegemea uzembe usiokuwa na kifani kila mahali !!Hapana. Serikali ya rais Samia imejaa uzembe!! Umeme umekatika juzi juzi lkn hakuna aliyefanyia kazi tatizo mpk leo linajirudia