Mfupa uliomshinda fisi nyau atauweza?Sasa sabaya atatoka lini jela ahamie chadema naamini atakuwa moto Sana kuibomoa ccm
Sabaya hata instruments angepewa ,bado kunanguvu ya president kinachomtesa sabaya ni maagizo yamdomo ya mwendazake sio akirizakeNdo madhara ya kuondoa semina elekezi akihisi anabana matumizi kumbe ameleta janga.Sabaya hakujua mipaka ya DC sababu hakuwa na semina elekezi
Hata mimi nimewaza hivyo mkuu, angekaa japo hata miaka nane ndio uchunguzi ukamilikeMbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.Hii sio dabo standard kweli
Naona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole SabayaMbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.Hii sio dabo standard kweli
Anapanga foleni na aliowatanguliza jela kwa kubambikwaHata mimi nimewaza hivyo mkuu, angekaa japo hata miaka nane ndio uchunguzi ukamilike
Yule ushahidi wake sio wa kutafuta kwa torchNaona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole Sabaya
Huyo lzima katenguliwa
nenda kamuokoe ananyea debe hata avae suti mbili mbili kwa pamojaMtu anaenda na suti kama hivyo alafu unasema kama jambazi sugu?
Bavicha mna laana gani?
Ana harakisha huyo
Patamu hapo wasogeze hadi novemba ili kesi inoge zaidiNaona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole Sabaya
Mwache avune alichopanda.Kuna clip nmeona naona raia nje wanamzoea
Ova
Sawa kabisa, ushahidi ukikosekana watamuachia.Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.
Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Yaani utumie silaha ulipishwe faini? Kumbuka hapo ni chuga, bado moshi ambapo ni zaidi ya chugaSabaya kwanza unaweza kukuta hakuwa rumande!
Na atawashinda mapema tu! Au ataambiwa alipe faini kwa DPP kama kina SETH
Kwani hao wanaolipa faini si makosa yao yanafanana na ya sabaya tu?Yaani utumie silaha ulipishwe faini? Kumbuka hapo ni chuga, bado moshi ambapo ni zaidi ya chuga
Uovu hauhitaji semina. Dhamiri safi kila mtu kaumbwa nayoNdo madhara ya kuondoa semina elekezi akihisi anabana matumizi kumbe ameleta janga.Sabaya hakujua mipaka ya DC sababu hakuwa na semina elekezi