Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.

Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Hiyo ni kazi ya Prof Mbarawa na wanasheria wa wizara na wameishafanya sana mpaka muda huu.
 
Well done baba askofu, huyu sasa ndio kiongozi sio wale wazee wa mtaguso wa kwanza wa Nicea
 
AMeunga Mkono uwekezaji in general au Specific wa DPW?


Tofautisha kati ya Kuunga Mkono Uwekezaji na kupinga aina ya Mkataba wa Uwekezaji
 
Msikilize hapa short clip yeye mwenyewe.
Hawa chawa wamejipanga kupotosha watu.

Mbele Ya Rais Samia, Askofu Shoo Azungumzia Sakata la Bandari. 'Jambo Hili Linahitaji Hekima Kubwa'​


View: https://youtu.be/qJvAMuLCH3Y
Hakuna mahali askofu Shoo amesema wanaunga mkono mkataba wa Dpw. Kasema wanaungamkono uwekezaji. Kuna watu wanajaribu kupotosha jamii hapa, kwamba kkkt wameunga mkono mkataba. Sio kweli. Enyi watu, sikilizeni hotuba ya askofu wenyewe.
 
🤣🤣🤣
Hawa si walipigana konde wakigombea sadaka na viwanja?
Kuna yule kimaro walitaka hadi kumfukuza kanisani,malasusa akamwonea huruma?
Wataongea nn kwa Roma?
Mtoto ulomzaa na kumlea hawezi kusumbua👌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…