wewe unaumwa uanhitaji tiba ya haraka muda siyo mrefu utaokota makopo na kivua nguo
 
Kumbe waraka wa TEC hujausoma bhasi sio kosa lako..Kwa sababu wamesema wamekutana naye na wamempa Mapendekezo na ushauri lakini wamesema ni muda sasa na haujafanyiwa kazi na wameona sheria zimeanza kubadilishwa na ndo kisa kilichowafnya wao kuja
kwani rais aliwambia anatoa majibu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…