TEC wanauwezo mkubwa kuliko hawa.
 
Leo ktk kuadhilisha miaka 60 ya kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, katika hotuba yake Muhasham Askofu Mkuu wa KKT mbali na mengine aliyohutubia mbele ya mgeni rasmi mhe. SSH rais wa URT ameitaka serikali inapofikia hatua kwa makanisa kukemea serikali hatutaki kusikia kauli ya Kikwete aliyoitamka juzi kuwa "Tusichanganye Dini na Siasa"
Hii nazani wale Chawa na Wapigaji imeenda hiyooo,,
 
Ile kitu TEC wametoa inawaacha watu wazima na aibu, hakuna majibu ya hoja hasa isipokuwa kudandia kila sentesi za watu maarufu na kuzipindisha, jibuni hoja za msingi kwanini Sheria za Nchi zinabadilishwa ili DP World wawekeze bandarini?
 
Una akili mbovu
 
Umechagua ku quote tu sehemu yako unayoona inakupendeza kudanganya umma ila Shoo hajasema hayo. Kasema maoni yao kama dini zote, waliyafikisha kwa pamoja wakiwa na viongozi wote wa CCT, TEC na BAKWATA kwenye mkutano binafsi na Mh Rais, na yeye anaamini Mh Rais atayafanyia kazi, na kama hatayafanyia kazi, basi asije akasema dini inaletwa kwenye siasa wakianza kutoa maoni mengine. Msipende kupotosha umma, mambo ya hovyo sana mnafanya.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.
View attachment 2724056
Kwani kuna mtu yeyote aliwahi kuoinga uwekezaji wa aina yoyote? Kuna watu ni wajinga, waongo, kiasi cha kukosa haya.

Kinachopingwa siyo uwekezaji bali ni mkataba ule wa kishenzi wa DP World. Na hakuna yeyote mwenye akili timamu anaweza kuuafiki ule mkataba.
 
System inaendeshwa
Na watu ambao kichwani hamna kitu mkuu
 

View: https://youtu.be/9MSnr86PhaYAskofu mkuu wa KKKT Fredrick Shoo amemueleza wazi mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania [emoji1241].
Mama Samia Suluhu Hassan kwamba Kanisa lake linaendelea kusubiri kuona kama atayafanyia kazi yale mambo waliyokwisha mpelekea mezani kuhusu DP-WORLD.

Pale ambapo yeye na viongozi wenzake wa madhehebu yote ya kidini nchini.
Pale ambapo walifanya nae kikao rasmi kuhusu mkataba huo.
Hivyo basi...namnukuu..
"Mh Raisi..kwa sababu umekaa kimya muda wote kuhusiana na jambo hili.ninakuomba Pale utakapoamua kuongea na kulitolea maamuzi,basi Mungu akuongoze na utowe maamuzi bora yenye manufaa kwa taifa na ustawi wa wananchi wake."

Mwisho wa kunukuu!

Msipotoshe kwamba ameunga mkono DP-WORLD!

Na hakuna anaepinga DP-WORLD...kinachopingwa ni aina ya mkataba na vipengele vyake!

Wale mburula msioelewa muwe mnaelewa hivyo.
 
Wewe ulikuepo au unasema maoni yako, acheni ujuaji......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…