Hakuna nia ya dhati kuendeleza michezo wala sanaa. Viongozi wanafanya tu ili kuondoa lawama. Wakipata watu wawili watatu wa kuwatumia kwenye kampeni zao wamemaliza.
 
Kwa hiyo tumekufa kiume?
 
Tupo pamoja mkuu. KIZIMKAZI 0
 
Sasa hivi mnajadili kipa katokea wapi? Mchana mlikuwa mnahamasisha serikali ihakikishe wachezaji wa ulaya waje Timu ya Taifa, mara Samatta kiwango hamna, Manula kapigwa Tano, BINADAMUUUUUUU
 
Sawa ila ulivyo mjinga utaidai Serikali ijenge viwanja vya michezo.
 
Watanzania tuna tabia ya kudharauliana yaani mtu akicheza nje hata kama anakaa benchi as long as anatoka nje basi tunamshobokea ila yule kipa anazidiwa na makocha wetu wa Tanzania pakubwa sana.
Kipa anazidiwa na makocha! Haya sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…