SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hakuna nia ya dhati kuendeleza michezo wala sanaa. Viongozi wanafanya tu ili kuondoa lawama. Wakipata watu wawili watatu wa kuwatumia kwenye kampeni zao wamemaliza.Sisi TZ tunafanya mambo yetu kwa mihemko na njia za mkato.
Sasa hivi focus imekuwa kutafuta wachezaji wanaocheza nje ya nchi, lakini tunasahau kuweka miundombinu ya kuzalisha wachezaji wazuri hapa ndani.
Mfumo wa kuzalisha na kukuza vipaji haupo, mfano mdogo; toka Hashim Thabit aende kucheza Marekani miaka mingi iliyopita hakuna hamasa wala yeyotr mwingine aliyetoka, iko hivyo kwa michezo mingine pia.