Wanasiasa wa ccm hawaoni aibu kuiteka timu ya taifa na kuifanya ni ya chama chao. Ni kama wameichuria ifungwe ili waaibike na kufedheheka
 
sio didier ni etoo mpaka mwisho wa mechi etoo akamfuata na kumpa mkono, wakabadilishana jezi, ile jezi ilimtetea cannavaro shida.
 
Hapo ndo umedhihirisha kwamba taifa stars siyo ya CCM maana Mimi na ccm ni kama mashariki na magharibi hatuwezi kufungamana.
Kama wewe sio ccm mbona hukemei ccm kuingilia tasnia ya michezo?

Bango la mamá unalo hadi kwa device yako unakenua meno tu et Mama anapiga kazini 😂😂😂

Wewe ni wale wale tu wa bendera kufuata upepo.
 
Walio karibu na wachezaji wa Yanga, waliotwa timu ya taifa inabidi wastuliwe kuwa siku mbili zijazo kuna wana mechi ya muhimu sana na wao ni miongoni wachezaji muhimu hivyo wasitumie nguvu nyingi hao Morocco walishindikana kwa Ureno na Uhispania na wakwepe kukaa na mipira na mipira ya 50 kwa 50.
 
Kama wewe sio ccm mbona hukemei ccm kuingilia tasnia ya michezo?

Bango la mamá unalo hadi kwa device yako unakenua meno tu et Mama anapiga kazini [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe ni wale wale tu wa bendera kufuata upepo.
Umeniamulia,sina bango lolote wala Nini.
 
Ushauri wako mzuri
Tutauzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…